The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,586
- Thread starter
- #121
Mkuu jazba ya nini?. Mimi nimeleta maoni yangu hapa kuwa huyu jamaa ajibiwe kwa hoja. Wewe unapandisha jazba na kuanza kuniita "mpuuzi"Lissu hana hoja
labda unachukulia neno "hoja" kama ni "hoja"
kumtuhumu mtu, na kujiaminisha kuwa alitaka kukuua, na ukaanza kutangaza kwa watu, kila mahali tena nje ya nchi ..haiwi hoja
hakuna wa kumjibu, atapewa airtime mpaka mwezini, sayari ya mars na kila mahali dunia hii. kisha atakaa kimya au hata akiendelea hakuna wa kushtuka. watu wanaamka wanaenda kazini, wanazaana, wanaishi na JPM bado rais kwa miaka saba ijayo
anachofanya Lissu anajifunga, sasa maadamu ndio mmelelewa kutosikia ushauri anaachwa
ndio mpuuzi mmoja anasema ajibiwe kwa hoja, hata asipojibiwa kama ana hoja kweli nini kitatokea??
Hivi mnadhani hiki kiburi za uzima mlichonacho kitasawasadia kitu?
Sana sana mnajitafutia maadui tu. Mtu mwerevu hujibu hoja kwa hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app