Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,381
2,553
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie badala ya kutafuta dawa ya kufufua uchumi unaotumbukia busy na Lissu. Lissu sio Rais ni mbunge na mwanasheria. Tumsaidie mkuu wa nchi kwa vitu vya maana na sio Lissu Lissu kila siku mnanikera. Kumtibu hamtaki mnaweweseka nini
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
 
Hapa ndo umejibu hoja zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Nyie si mnasemaga hampeleki maendeleo katika majimbo ya wapinzani! Sasa Lisu atafanyaje na nyinyi ndio mnakusanya kodi?
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Nigger please,vijiheshima ulivyobakia navyo(hata ya mimi kuku-quote) uwe unaitunza basi.Unapoongea maendeleo ya wana Singida Mashariki si mazuri na kumuhusisha Lissu unaji-degrade kimawazo na ufahamu mnoo!Unataka kuaminisha watu kuwa mbunge huwa ana shamba la neema chekwa ni kiasi cha kuwagawia wananchi?Kwamba mbunge akiwa jimboni anawalimia mashamba wananchi ili wapate chakula na ziada watauza kwa mapesa mengi?Kwamba hakuna madiwani na mkurugenzi wa eneo husika kutekeleza na kusimamia maendeleo?Mkiwa watunzi wa propaganda nyembamba muwe na akili za ku-inject huo upuuzi kwa waelewa.
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!

Lissu hajawahi kukusanya hela ya wana singida mashariki, hivyo maendeleo yao waulizwe wanaokusanya kodi. Huko kwa mabeberu sio Lisu pekee anaenda, hata serekali inatambeza bakuli hukohuko.
 
Hebu nenda Jimbo la Ndugai, Jimbo la Simbachawene, Mkamia wote CCM wote Ni happy Dodoma, halafu nenda Jimbo mama Jenister, Jimbo la Msukuma na Jimbo la Kibajaji.

Uje utuambie majimbo Yana utofauti gani na Jimbo la Mwigulu na Lisu.
 
Kazi ya pesa iliyoko kwenye mfuko wa maendeleo jimboni ni nini kamanda!?
 
Hebu nenda Jimbo la Ndugai, Jimbo la Simbachawene, Mkamia wote CCM wote Ni happy Dodoma, halafu nenda Jimbo mama Jenister, Jimbo la Msukuma na Jimbo la Kibajaji.

Uje utuambie majimbo Yana utofauti gani na Jimbo la Mwigulu na Lisu.
Hao uliowataja wako kwa mabeberu wanahubiri na kuunga mkono Ushoga!?
 
Back
Top Bottom