Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Warithi wake wapo Tanganyika sasa na mpaka hivi tunavyoongea Cyprian musiba na Heri kisanduku wapo kwenye mazoezi makali ya kulenga shabaha wanajiandaa kwa shambulio la pili ambalo watamshambulia kama Alshabab.
Lisu maisha yake yatakuwa hatarini akirudi. Tena hatari kubwa! Labda 'wakubwa' wawatishe akina msiba na wenzake kuwa akiuliwa tu akiwa Tanzania, we will bomb you, kitu ambacho ni cha kufikirika.
 
T
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bungeni la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la wana CCM baada ya kuwa chama chao kuwa ndo chenƴe Serikali wameacha kujifunza na kufikiri!

Ƙiburi cha madaraƙa kuwa wana vyombo vƴa dola na vƴomɓo hivƴo kuruhusu kutumiwa na Wana CCM, kumeleta ulemavu wa fikra miongoni mwao!
Ƙila mwana CCM amebakiza majigambo ya kulinɗwa na dola hata akiumiza wananchi wenzake kwa chuki za kutoungwa mkono au ƙupongezwa kwa yale anaƴoona ƴeƴe ni matenɗo mazuri lakini wenƴe mawazo tofauti hawayaƙuɓali.
Ƙilema hiki cha wana CCM, wengine wanaita madaraka ƴa kulevƴa kwa maoni yangu si rahisi ƙwa sasa wakaondokana nacho mpaƙa serikali wanaƴoiongaza itakapoangushwa, hailishi ni ƙwa namna gani au ni lini hili litatokea.
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Nimeishi Maketa, Ludewa, Mpwapwa, Chunya, Hundeni kote huko tangia uhuru majimbo hayo yameongozwa na CCM lakini mpaka sasa hakuna mabadilko ya maana hivyo HOJA yako ni dhaifu sana
 
Bado nazidi kukudharau maana zimefanyika review za kutosha Hadi Mahakama ya Rufaa Mara mbili zote zilimkuta na hatia. Sasa hebu sema Mahakama ilikosea wapi ili umma ujue Mahakama ilimuonea.
Ukinidharau unanipunguzia kipato changu Au nitashindwa kupata usingizi!!?
Ungekuwa una umuhimu kwangu dharau yako ingenitia simanzi. Kuna kesi ngapi zilipitia katika huo mlolongo uliotaja awamu zilizopita na baadae zikaja gundulika mtuhumiwa au watuhumiwa hawakuwa na hatia!? Au kuna kesi ngapi ambazo watuhumiwa walikuwa na hatia pasi na Shaka lakini mwisho wa siku walishinda kesi hizo na tuko nao mtaani!?
Awamu zilizopita Pesa ilipindisha sana na kupokonya Haki za Wanyonge.
 
Mimi siko hapa kumuaminisha kiumbe yoyote..bali niko hapa kuweka rekodi sawa na kupinga Upotoshaji umma, Uzandiki, Unafiki, Uhaini, Uongo n.k.
Nenda kafanye Tafiti (Research)....maana katika ulimwengu wa leo bila Tafiti huna Haki ya kupayuka.
Uliona jinsi Steve Sackar alivyomtawanyatwanya Tundu...yote hiyo ni kwa sababu bwana Sackar alifanya Tafiti iliyomuwezesha kufanya mahojiano vyema na kumfanya Lissu aonekane kituko machoni kwa watu makini.
Sasa kwa taarifa yenu ninyi mnaojidai kujibishana na Lissu ndiyo mnaonekana wajinga machoni mwa jamii.Mara mseme ameshindwa kujibu maswali,hajui lugha ya kiingereza na blah blah nyingi bila kujua mnaangaliwa kama mizumbukuku tu.
 
Mimi siko hapa kumuaminisha kiumbe yoyote..bali niko hapa kuweka rekodi sawa na kupinga Upotoshaji umma, Uzandiki, Unafiki, Uhaini, Uongo n.k.
Nenda kafanye Tafiti (Research)....maana katika ulimwengu wa leo bila Tafiti huna Haki ya kupayuka.
Uliona jinsi Steve Sackar alivyomtawanyatwanya Tundu...yote hiyo ni kwa sababu bwana Sackar alifanya Tafiti iliyomuwezesha kufanya mahojiano vyema na kumfanya Lissu aonekane kituko machoni kwa watu makini.

Kingereza hujui ni mbumbumbu kilaza hata interview yenyewe hukuambulia kitu umekariri ulivyolishwa na mkalimani wa CCM le mutuz, ukafanye utafiti wa nini? Nani katawanywa tawanywa? Acha ushamba wako wewe sio mtu makini kituko unakionea wapi? Hujielewi unawezaje kupima chochote? Upotoshaji unao wewe mwenyewe kwa hizo records zako unazodai kuweka sawa wakati ni kilaza, kafanye tafiti za kifala fala huko gheto kwa Musiba na Le mutuz lakini tafiti za kitaifa huwezi.
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Jifunze kukaa kimya,nayo ni busara kuliko ulichokileta hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Kwa hiyo amekuwa mbunge toka Uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bungeni la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wenye akili wameondoka ccm mkuu , hata wale wachache waliobaki ni kama wameng'olewa ubongo , hivi ulitegemea Mizengo Pinda kuandamana huko Mafinga kupongeza kuondolewa kikokotoo ?
 
Tatizo la CCM watetezi wake wengi ni mbumbumbu wakubwa na kibaya zaidi walimlipa mabilioni ya pesa Le mutuz kwa ajili ya kuwaajiri vijana wa kuitetea CCM mitandaoni , lakini Le mutuz akaitafuna pesa yote kwenye michepuko na kuishia kuokoteza vilaza wajinga wajinga akawajaza gheto kwake akiwalisha maharage na kuwakaririsha ujinga wake wote ndiyo maana watetezi wa CCM wote Uandishi wao unafanana na wengi Hawana hoja wamekariri kusumbua watu mitandaoni na kuandika ujinga ujinga mwingi.
 
Kutetea hoja za CCM zjnahitaji ujitowe akili kama yule dasa, Sanders, anayemtetea Trump!
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bungeni la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm wameishiwa hoja ndomaana wanatumia nguvu, hawana hazina yoyote kama unavoamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa

Sasa we hoja yako Ni ipi, maana nilitegemea waliopo madaraka I Tena karibu na chama kule kwenye majimbo yao Mambo Safi ili upate moral authority ya kumsema Lissu lakini Kama mnafanana. Mwache aseme muda ukifika wapiga kura wake wataamua.

Suala la kuunga mkono Ushoga..sidhani Kama anaunga mkono. Swali: kina Babu Seya walifungwa kwa kosa gani, iweje wamepewa msamaha, je waliotoa msamaha wanaunga Ushoga?
Ushoga kwa Tanganyika kwanza hauna uhusiano na wizi wa trilion 1.5 ufisadi kwenye ununuzi wa ndege miladi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa kiwanja cha ndege kijijini chato porini, watetezi wa CCM ni wajinga sana wanakuja na kisingizio cha ushoga utadhani ushoga una uhusiano na viwanda au maendeleo nchini.
 
Ulikaa kwa muda gani na maeneo gan ulitembelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nakuwa huko mara kwa mara kikazi. Na huwa nakuwa maeneo ya Ihanja, Iseke, Issuna, Ligwa, Sipuka, Unyahati, Mtunduru, Mungaa, Mwaru, Ighombwe n.k. Kwa ujumla nimezunguka sana maeneo hayo.

Gumanga, Ibaga, Iguguno, Mpambala, Mwangeza, Nduguti kote huko nimetifua. Kwa hiyo huwezi niambia kitu.
 
Back
Top Bottom