Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hahaha umjibu hoja gani Lissuu..hivi unamuona ana hoja yule..si ni kama amechanganyikiwa, we unqvyomuona yuko sawa..? Ni kama amerukwa na akili fulani hivi..hayuko sawa..you can tell even by looking..!!
Sasa nikwambie ukitukanana na chizi na wewe utaonekana chizi..dawa ya chizi ninkumwacha apayuke akichoka analala..kwanza wananchi wameshamchoka..tanzanians are fed up..imagine kama yule mzungu aliyemhoji tu alimchoka kwa kutokuwa na point za kujieleza, hivi unategemea nini kwa wananchi wanaomsikiliza mara kwa mara..wameshamshtukia mwanaharakati na kibaraka wa wazungu..! Wacha aendelee kuwalambalamba..
Lissuuu alipoteza umaarufu pale alipotaka kuingiza chaka wananchi eti tulifanya makosa kuwakamata jamaa wa makinikia..khaaa...upumbaf mtupu..yani mtu umemstukia anakwibia, sasa kumkamata liwe kosa..?? Ujinga wawapi ule..kumbe jamaa kule pembeni alikuwa anapenya kwenda maofisi yao kimyakimya sijui kufanya nini
Hatimaye makinikia yaliishia wapi?
Mpaka leo hicho kishika uchumba kililipwa?.
Na kina nani waliopitishwa miswada tata ya madini kwa hati ya dharula?.
Ifike wakati tuwakumbushe watawala waliyoyasema nakuyatenda jana sio kuwa bendera fuata upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yako ni fupi sana hata Mkia wa Mbuzi unasubiri aisee. Umeshindwa hata kuelewa ya kwamba nilitumia "Sarcasm" hapo!?
Dah makamanda bwana!
Mm sio amanda. Wala mwanachama wa chama chochote. Vyama vyote vina interest zao so siamini vyote.
Sio kwamba sijaelewa ulichoandika ila nimekushangaa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani Kama uko sahihi katika uhalisia juu ya hilo la Kongwa na Kondoa kupigwa Gap na Singida mashariki kaka. Hayo maeneo yote nimepita kwa shughuli za kikazi. Kwa hiyo naelewa mazingira na hali halisi ya huko.
Tatizo kubwa linalowakabili Wanasiasa wa pande zote ni VIPAUMBELE.

Nimeongelea Singida Mashariki kwa mfano halisi kwa sababu ya Tundu Lissu kuwa wa "Kimataifa" kwa sasa na ana hits milioni 82 mitandaoni. Kwa watu makini haswa hao mabeberu huwa wanapenda kufanya Tafiti kwanza kabla ya kutoa maamuzi katika jambo lolote. Leo hii mabeberu wakiamua kutembelea Jimbo ambalo anaongoza bwana Lissu ili waweze kujiridhisha na Utendaji wake kabla ya kumuunga mkono kuing'oa serikali ya CCM madarakani itakuwaje!?
Maana mabeberu huwa wanakupima mtu kutokana na Utendaji na Weledi wako sio ujuaji mwingi na kupayuka katika mitandao ya kijamii.
Ndio maana nakwambia. Ww umetembelea .. mm ni mzaliwa.
Hakuna kona ya kijiji wala wilaya ya singida nzima ambacho sifaham. Nimeish na kutembelea almost maeneo yote na kuyaishi.
Tena awam zote kabla hata ya mkapa.
Kondoa kama umepita ww umepita mjin.. ambapo ni padogo sana na hapa reflect hali ya wilaya nzima. Toka hapo ingia ndani..
Kongwa acha kongwa mjin toka hapo ingia nfdani ndio utaja definition ya umaskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm sio amanda. Wala mwanachama wa chama chochote. Vyama vyote vina interest zao so siamini vyote.
Sio kwamba sijaelewa ulichoandika ila nimekushangaa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeelewa maana ya "Sarcasm" usingenishangaa. Ila kwa kuwa umepigwa kanzu ukageuka ukapigwa tobo ndio maana umebaki kinywa wazi kama Zitto juu ya Ripoti ya CAG kuhusu Trilioni 1.5 iko imetulia tuliiiiiii Hazina....Tehe Tehe Tehe.
 
Hahaa sijaongelea hoja ya zitto. Umeona mahali nimekuuliza kuhusu hizo hoja?
And yes naelewa maana ya sarcasm
Ungeelewa maana ya "Sarcasm" usingenishangaa. Ila kwa kuwa umepigwa kanzu ukageuka ukapigwa tobo ndio maana umebaki kinywa wazi kama Zitto juu ya Ripoti ya CAG kuhusu Trilioni 1.5 iko imetulia tuliiiiiii Hazina....Tehe Tehe Tehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Acha uzwazwa, tuambie ni jimbo gani ambalo wananchi wake wana raha, kama sio mawazo ya ukenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuona na polepole kwenye media moja akiweweseka akisema hakuna hoja ndiyo maana tumenyamaza na pia akijinasibu kuwa English anaifahamu kweli na ndiyo iliyomfanya JK kumfahamu 2008. Sasa ili kubaini ukweli aombe kipindi BBC kwenye hardtalk ili akaisambaratishe hoja ya msomi Lissu ili dunia ijue kwamba Lissu anaihadaa ulimwengu
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bungeni TL amekuwa mahiri katika hoja, JPM kuona hivyo akampelekea mwalimu wake Prof Kabudi ili pamoja na mambo mengi aweze kum-neutralise.
 
Lisu hana hoja ni mpiga makelele tu kwa chadema mjenga hoja kwenye mahojiano ni mmoja tu mbunge David Silinde mbunge wa chadema Momba the rest ni crap including Tundu Lisu.Tundu Lisu ana makelele mengi yasiyo Na hoja ndani
Lissu ana mizuka mingi pia anashindwa kutawala jeuri ya kisomi. Ana dharau fulani hivi akiwa kwenye maongezi, tazama kukunja kwake ni midomo akiwa anamsikiliza mtu.
 
Hatimaye makinikia yaliishia wapi?
Mpaka leo hicho kishika uchumba kililipwa?.
Na kina nani waliopitishwa miswada tata ya madini kwa hati ya dharula?.
Ifike wakati tuwakumbushe watawala waliyoyasema nakuyatenda jana sio kuwa bendera fuata upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kwa hoja yako nataka kusema Lissuu alikuwa sawa..?
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Lakini wao si ni watanzania? Nani alietakiwa kuleta maendeleo?
 
Hahaha umjibu hoja gani Lissuu..hivi unamuona ana hoja yule..si ni kama amechanganyikiwa, we unqvyomuona yuko sawa..? Ni kama amerukwa na akili fulani hivi..hayuko sawa..you can tell even by looking..!!
Sasa nikwambie ukitukanana na chizi na wewe utaonekana chizi..dawa ya chizi ninkumwacha apayuke akichoka analala..kwanza wananchi wameshamchoka..tanzanians are fed up..imagine kama yule mzungu aliyemhoji tu alimchoka kwa kutokuwa na point za kujieleza, hivi unategemea nini kwa wananchi wanaomsikiliza mara kwa mara..wameshamshtukia mwanaharakati na kibaraka wa wazungu..! Wacha aendelee kuwalambalamba..
Lissuuu alipoteza umaarufu pale alipotaka kuingiza chaka wananchi eti tulifanya makosa kuwakamata jamaa wa makinikia..khaaa...upumbaf mtupu..yani mtu umemstukia anakwibia, sasa kumkamata liwe kosa..?? Ujinga wawapi ule..kumbe jamaa kule pembeni alikuwa anapenya kwenda maofisi yao kimyakimya sijui kufanya nini
Kazi kweli kweli hii. Kwa maelezo haya, Bado najaribu kutafuta chizi kati yenu wawili (TL na Wewe)
 
Lisu hana hoja ni mpiga makelele tu kwa chadema mjenga hoja kwenye mahojiano ni mmoja tu mbunge David Silinde mbunge wa chadema Momba the rest ni crap including Tundu Lisu.Tundu Lisu ana makelele mengi yasiyo Na hoja ndani
Mkuu nina hummer na chevrolet hapa nataka kukupa bure
 
Kazi kweli kweli hii. Kwa maelezo haya, Bado najaribu kutafuta chizi kati yenu wawili (TL na Wewe)
Unganisha na jina lako..hapo...tuone nani chizi kati yetu watatu...mtu unamwona kabisa mwendawazimuu unajifanya huoni..?!!!! Khaaa wajameni...hata yule mzungu aligundua pale kwenye mahojiano kwamba pale haongei na binadamu aliyekamilika kichwanii
 
Back
Top Bottom