Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Mawazo ambayo yanafumbia macho ukweli halisi wa maovu yanayojiri nchini ambayo yalisababidha viongozi wa dini katoliki, kilutheri na kiislamu wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu kuandika nyaraka tatu tofauti kwa dikteta dhalimu kitu ambacho hakikuwahi kutokea katika awamu nne za mwanzo. Na waliyoyasema hadi leo hii yanatokea nchini.

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini - JamiiForums

Mkuu heshima mbele, teuzi tena! Mwananchi wa kawaida kama mimi naanzaje kuokotwa ili nistahili teuzi? Wengine tunatoa mawazo yetu tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ubishi Magufuli ni kiongozi anayekubarika sana nchini Tanzania hata nje ya Tanzania ukiondoa watu wachache wenye uchu na madaraka.

Magufuli anakubarika na watu wote nchini Tanzania ukianzia:
* Wamachinga.
* Mama ntilie.
* Viongozi wa dini.
* Wafanyakazi wa umma
* Walala hoi
* Vijana, kinamaa na wazee.

Sitaki kusema kwa nini anakubarika nadhani kila mmoja anajua huyu bwana ni kiongozi wa aina gani katika taifa letu pendwa.

Sasa kimshauri Tundu Lisu apambane na magufuli katika mbio za urais 2020 si ushauri mzuri kabisa kwa Tundu Lisu kwani ndiyo utakuwa mwanzo wa mazishi ya kisiasa ya Lisu.

Lisu hana uwezo wa kusimama na Magufuli 2020 na akashinda eti kwa kutumia hoja ambazo hazina mashiko makubwa kwa watu wengi kama vile:
* kuminywa kwa demokrasia.
* Kupigwa risasi kwa Lisu.
* Kuwekwa mahabusu kwa mbowe.
* Kununuliwa kwa wanasiasa.
* na hoja nyingine dhaifu.

Ukiangalia kwa umakini hizo hoja zinajibika kiwepesi sana.

Sasa Lisu akisubutu kuingia kwenye competition ataenda kushindwa vibaya sana na pengine tukamkosa bungeni kwa muda wa miaka mitano kitendo ambapo kitamfanya ashuke kisiasa afanane na David Kafulila.

Lisu ni bora tu ugombee ubunge 2020 kwani hoja zako zinahitajika sana bungeni kuliko kugombea urais ambao utakupoteza kisiasa.

SINTOJISIKIA VIZURI KUMKOSA LISU BUNGENI KWA MIAKA MITANO 2020-2025. WASHAURI WA CHADEMA FANYENI KAZI YENU VIZURI JUU YA HILI.
Tangu Tanzania ipate uhuru maaskofu kwa pamoja hawajawahi kutoa waraka wowote ila tu kwa huyu aliyezungukwa na wanafki wa kiwango cha dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa rahisi hivo wasingeleta mswaada wa Sheria wa kudhibiti vyama vingi.Kihalali awashindi

Alivyokua mjinga atapuuza ushauri na kudhani yeye ni presidential material. Cdm mleteni aendeleze uongo na kumdharau/kumtukana jpm kwenye campaig halafu mushuhudie kifo chake na cha cdm kisiasa.
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!

naombeni kuuliza hivi neno bwege ni tusi !! Mkuu kamq neno bwege sio tusi basi nakutunuku cheo cha mkuu wa mabwege ,kama ni tusi naomba unisamee.
hiw Dare unamlaumu Lisu kwa ufukara wa wanajimbo lak ? Let me just ask you ,hivi.lisu anaongoza serikali ipi,hv lisu anakusanya kodi kwa wananchi wake ,hivi lisu ndie anaejenga madaraja na ma hospitali ?
Hizi akili za abunuasi huwa tunazitoa wapi wana ccm wenzangu,tangu lini mbunge akalaumiwa kwa umaskini wa wananchi wa jimbo lake ??
Hoja cheap kama hizi ndizo zinasababisha vijana wa upinzani wanazidi kungaa mbele ya jamii,its time to change tujiepushe na tusahau siasa za nineties au eighties .
Mkui kwa heshima zote ebu pitia tena hoja yako upya ,nakushauri kama bipi delete it comrade ,unasababisha wana ccm tuonekane ma zwazwa kama wewe.
 
Sasa hivi ndo anajichimbia kaburi ili ikifika 2020 ajizike mwenyewe! Ajiulize wagombea Urais wa miaka ya nyuma kupitia Chagademus & Pliers sasa hivi wako wapi? Mtu kama Diijey Waitiea??
 
Wewe ndiye unayetakiwa kufanya utafiti na kuacha kupayuka. Huko Kaskazini wamewezaje kupata na kuendelea kupata maendeleo ilhali majimbo karibia yote yako chini ya Upinzani!? Wabunge wa Upinzani wanaojitambua wamepigania na wanaendelea kupigania maendeleo na kutatua shida za wapiga Kura wao kwa kuibana serikali kwa unyenyekevu....zingatia neno "Unyenyekevu" hapo.
Mh. Joseph Haule Mbunge pekee wa Binadamu na wanyama pori ameingia juzi tu Bungeni lakini tembelea Jimbo la Mikumi uone linavyosonga mbele kwa miradi ya maendeleo.
Tundu alistahili kuwa Mbunge wa Kinondoni, Temeke, Ubungo, Kawe n.k. Ili aendeleze harakati zake za kuunga mkono Ushoga na mengineyo. Singida mashariki wanahitaji Mbunge wa kuwasemea na kuwapigania shida zao.
Singida mashariki hawana shida madiwani wapo maendeleo yapo wanajua Tundu Lisu kapigwa Risasi na CCM yupo kwenye matibabu mifano yako haina mashiko kwani wapo wabunge wa CCM majimboni kwao ni shiiida mfano jimboni kwa Ndungai au jimboni kwa kibajaji na wengineo wa CCM ni taabu tupu.
 
Back
Top Bottom