Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Unganisha na jina lako..hapo...tuone nani chizi kati yetu watatu...mtu unamwona kabisa mwendawazimuu unajifanya huoni..?!!!! Khaaa wajameni...hata yule mzungu aligundua pale kwenye mahojiano kwamba pale haongei na binadamu aliyekamilika kichwanii

Inaonekana ilikua mara yako ya kwanza kuangalia Hard Talk!!!
 
Dawa ya nyege ni kugegeda,Dawa ya mtego ni kutegua sio kuuruka,na dawa ya hoja ni kujibu kwa hoja na kuuliza kwa hoja
 
Inaonekana ilikua mara yako ya kwanza kuangalia Hard Talk!!!
Usitetee ujinga bana...mara ngapi mtangazaji alikuwa akishangazwa na majibu ya yule jamaa yenu...sema ukweli na utakuweka huru jomba..alikuwa akiongea utumbo..! Kisingizio eti kipindi...khaaa...hata kama hatukuona lakini hata kusikia napo shida..???
 
Hahaha umjibu hoja gani Lissuu..hivi unamuona ana hoja yule..si ni kama amechanganyikiwa, we unqvyomuona yuko sawa..? Ni kama amerukwa na akili fulani hivi..hayuko sawa..you can tell even by looking..!!
Sasa nikwambie ukitukanana na chizi na wewe utaonekana chizi..dawa ya chizi ninkumwacha apayuke akichoka analala..kwanza wananchi wameshamchoka..tanzanians are fed up..imagine kama yule mzungu aliyemhoji tu alimchoka kwa kutokuwa na point za kujieleza, hivi unategemea nini kwa wananchi wanaomsikiliza mara kwa mara..wameshamshtukia mwanaharakati na kibaraka wa wazungu..! Wacha aendelee kuwalambalamba..
Lissuuu alipoteza umaarufu pale alipotaka kuingiza chaka wananchi eti tulifanya makosa kuwakamata jamaa wa makinikia..khaaa...upumbaf mtupu..yani mtu umemstukia anakwibia, sasa kumkamata liwe kosa..?? Ujinga wawapi ule..kumbe jamaa kule pembeni alikuwa anapenya kwenda maofisi yao kimyakimya sijui kufanya nini
Kawadanganye vijijini huko, huku mjini Sisi werevu. Ijue ngome ya CCM IPO vijijini.
 
Ni vigumu kwa CCM kumjibu kwa Hoja kwa sababu mfumo wa Uongozi kwa awamu hii ya tano upo kienyeji yaani kuna Rais kisha Naibu Rais na mshauri mkuu ambaye anatumia style za yule mshauri wa marehemu Iddy Amin dada aliyekuwa akijulikana kwa jina la Maliyamungu ni mtu aliyekuwa na roho mbaya sana kama Daud Arbaty Bashite na cyprian Musiba ni vigumu wajenge hoja kwa Sababu ushauri wa Bashite kwa mtukufu malaika toka chato ni biashara kubwa sana wao wanalipwa mabilioni kwenye miladi ya kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla, wakikalia hoja watakosa pesa.
Muda mfupi uliopita nimesikiliza mahojiano ya mtukufu akiwa na m7 mbele ya waandishi wa habari kule Hoima. Nimeamini mkuu hawezi kusimama na Lisu kujibu maswala au hoja zake. Hana upeo kabisa!
 
Suala la kina Babu Seya ulishawahi kupata wasaa wa kupitia mafaili ya kesi nzima!? Maana mnatokwa mapovu kama nyie ndio mlikuwa wapelelezi na watoa Hukumu wa kesi husika.
Unajua Mazingira ya kesi ya kina Babu Seya na watoto wake!?
Mahakama ilisema ni wafiraji na wanajisi. Haya unataka kutupiga fix gani hapa?
 
Umeshafika katika majimbo ya hao uliowataja hivi karibuni? Mimi nimefika Jimboni kwa bwana Lissu, nilikuwa huko mwezi wa kumi na mbili mwaka jana (2018) HALI INATISHA SANA.
Nchi nzima ipo hivyo
 
Kawadanganye vijijini huko, huku mjini Sisi werevu. Ijue ngome ya CCM IPO vijijini.
Sasa wewe una ngome gani mjini wakati viongozi wako vigogo uliowategemea wameshakukimbia..amebakia kamanda wako naye yupo lupango..sijui una hoja..subiri sasa vumbi la mwaka 2020
 
Usitetee ujinga bana...mara ngapi mtangazaji alikuwa akishangazwa na majibu ya yule jamaa yenu...sema ukweli na utakuweka huru jomba..alikuwa akiongea utumbo..! Kisingizio eti kipindi...khaaa...hata kama hatukuona lakini hata kusikia napo shida..???
Hujui kiingereza kama yule Juha wenu.
 
Sasa wewe una ngome gani mjini wakati viongozi wako vigogo uliowategemea wameshakukimbia..amebakia kamanda wako naye yupo lupango..sijui una hoja..subiri sasa vumbi la mwaka 2020
Sio kwa hoja ni kwa kutumia mtutu. Ndo mana sin hofu. Najua hoja hamna ila ni tume na majeshi tu basi.
 
Back
Top Bottom