Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Hii siku wacha tuisubiri kwa hamu tena kubwa, Nina uhakika siku akitangaza tarehe ya kurejea nchini ndugu yetu Tundu Lissu, ndio siku hiyo mkuu kutoka mjengoni atatangaza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi kitaanzai milioni namaanisha 1M,
Hapo hatojali hazina ina uwezo kiasi gani, yeye nia yake ni kuzima hilo vuguvugu la mrejeo tu.
Tundu Lissu tunakuomba utangaze tuneemeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hatojali hazina ina uwezo kiasi gani, yeye nia yake ni kuzima hilo vuguvugu la mrejeo tu.
Tundu Lissu tunakuomba utangaze tuneemeke
Sent using Jamii Forums mobile app