Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hao uliowataja wako kwa mabeberu wanahubiri na kuunga mkono Ushoga!?
Umeng'ang'ania ushoga au wewe bwabwa ,mchicha mwiba,punga ..Mh Mahige alipinga harakati za Bashite kukamata mashoga nae aliunga mkono.??.propaganda za kitoto mnatia aibu
 
Bwabwa hilo lisikuchoshe! Kutwa nzima limeng'ang'ana na ushoga linataka lijadili tu biashara yake...jinga kabisa hilo jamaa!
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Ifike pahala watu tufikiri kwa kutumia akili sio viungo vingine..... Kazi za mbunge katika katiba ni hizi tatu:
1. Kuwawakilisha wananchi kwa kusemea mambo yao
2. Kutunga sheria kupitia bunge
3. Kuisimamia serikali.

Wananchi wa Ikungi wanasemewa siku zote tena hata wa majimbo mengine ukiwemo wewe, Kwenye Kutunga sheria nadhani unajua mwenyewe hadi Chenge anamuunga mkono, kwenye kuisimamia serikali ametimiza wajibu wake zaidi ya ulivyowahi kudhani..... Usibebe chuki hadi ukapofuka kwa sababu za kishabiki unapoteza ubora wa akili aliyokupatia Mungu.... Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..... Jimbo LA Kongwa limeendelezwa na mbunge wake au exposure yako inaishia sebuleni kwenu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fact.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hata wanao wanakudhalau kwa akili yako ilivyo mbovu,utajilinganisha na Lissu?
Lisu hana hoja ni mpiga makelele tu kwa chadema mjenga hoja kwenye mahojiano ni mmoja tu mbunge David Silinde mbunge wa chadema Momba the rest ni crap including Tundu Lisu.Tundu Lisu ana makelele mengi yasiyo Na hoja ndani

In God we Trust
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Hapo sijui unamsema nani?
Kazi ya mbunge ni nn na kazi ya serikali ni nn?
Unachanganya madesa hapa.
Yeye kazi yake ni kusema na serikali inatekeleza,ss kama haitekelezi tatizo ni la Lissu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...
Tundu Lisu hakuna anachokitaka zaidi n madaraka na ndio maana amekuwa akimchafua raisi ......sasa njia anayoitumia sio sahihi huo uraisi anaoutaka hatoupata ......na anachokifanya wengi tunamuona mjinga coz anaiabisha nchi na raisi wake ......kwenye za kikoloni ....na pia angekua kwenye nchi km china,uSA,japan,nk sijui angefanywa nn huwez ongelea nchi yako kwa mabaya sasa yeye hawe raisi atamuongoza nan kwa staili ilee .....
 
Aje atolee hizi hoja zake hapa nchini atajibiwa sasa yeye anaenda kuongelea huko nje nani wa kumjibia huko
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitaka usifie?
Yaani unusulike kifo halafu usifie? Je wewe ungefanya hivyo?
Write your reply...
Tundu Lisu hakuna anachokitaka zaidi n madaraka na ndio maana amekuwa akimchafua raisi ......sasa njia anayoitumia sio sahihi huo uraisi anaoutaka hatoupata ......na anachokifanya wengi tunamuona mjinga coz anaiabisha nchi na raisi wake ......kwenye za kikoloni ....na pia angekua kwenye nchi km china,uSA,japan,nk sijui angefanywa nn huwez ongelea nchi yako kwa mabaya sasa yeye hawe raisi atamuongoza nan kwa staili ilee .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bunge la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chichiemu kuna takataka aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom