Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

Hata mimi nakuunga mkono mkuu maana ukitembelea kwenye majimbo yanayoongozwa na wabunge wa ccm nchi hii yana maendeleo kama ulaya, Lissu ni mtu hatari sana amezuia maendeleo jimboni kwake pamoja na uwepo wa baraza la madiwani, Mkurugenzi, mwenyekiti wa halmashauri na mkuu wa Wilaya, wananchi jimboni kwa Lissu wanatuonea wivu sana wananchi tunaoongozwa na wabunge wa ccm maana tunaishi kama tuko Ulaya
Kama alivyo mwanachama nguli wa CCM Steve Sackar.
 
Jifunze kuzitawala hisia zako kamanda...hilo neno "huniambii kitu" nimelitumia kama kachumbari kuongeza ladha ya muhigo wa kukaanga. Sikuwa na nia ya kukubeza.

Ni wapi niliposema/kuandika wana Tabu sana!? Nilichoandika ni kwamba HALI NI MBAYA SANA. Ukimnukuu mtu epuka kumlisha maneno.
Mimi nimezungumzia huko kwa sababu nakufahamu vilivyo kuliko hata kwetu kwenye chimbuko la mababu. Na nimekutajia sehemu chache tu za huko nilizopita na kufanya shughuli zangu.
Sikatai ya kwamba Kongwa kuna hali isiyoridhisha, lakini sio kwa kiwango cha hizo sehemu nilizokutajia. Kwa ufupi Singida mashariki hali ni mbaya sana na wanahitaji Mbunge ambaye atawasemea na kuwapigania shida zao.
Tundu Lissu alifaa kuwa Mbunge wa Kawe, Temeke, Kinondoni au Ubungo ili aendeleze libeneke vizuri.
Hawatendei Haki wana Singida mashariki na hili litakuwa dhahiri kwenye uchaguzi wa 2020.
Kagombee wewe kule ili uwaletee maendeleo na kama huwezi basi paache ufanye yanayokuhusu kwani muda wote unalaumu tu bila kutoa suluhisho! Au unaumia kwa kupendwa ma kukubalika kwake kitaifa na kimataifa? Tupunguziane unafiki humu!
 
Sasa

Sasa we hoja yako Ni ipi, maana nilitegemea waliopo madaraka I Tena karibu na chama kule kwenye majimbo yao Mambo Safi ili upate moral authority ya kumsema Lissu lakini Kama mnafanana. Mwache aseme muda ukifika wapiga kura wake wataamua.

Suala la kuunga mkono Ushoga..sidhani Kama anaunga mkono. Swali: kina Babu Seya walifungwa kwa kosa gani, iweje wamepewa msamaha, je waliotoa msamaha wanaunga Ushoga?

Siyo kwambà wamesamehewa to bali wamepewa heshima ya kwenye Ikulu kufutwa machozi kwa kufungwa bila makosa. Ingekuwa ni msamaha tu wasingekwenda Ikulu.
 
Huo mfuko una bei gani? Milioni mia moja tu kama sikosei. Hebu zigawanye kwa kata zote, shule zote, vijiji vyote na hata zahanati zote na madaraja au barabara kama hawajaambulia laki moja! Sidhani kama unafanya kautafiti kabla ya kukurupuka humu! Maendeleo ya mahali hupelekwa na serikali kwani ndio wakusanya kodi na wapokea mapendejezo na maombi ya miradi kutoka kwa wabunge! Mbunge kazi yake ni kuhamasisha na kuibua miradi akishirikiana na wapigakura wake! Chunguza majimbo yanayoongozwa na ccm yana maendeleo ya kiwango gani kama siyo hakuna kabisa! Anza kuwakandia wabunge wa ccm kwanza.
Wewe ndiye unayetakiwa kufanya utafiti na kuacha kupayuka. Huko Kaskazini wamewezaje kupata na kuendelea kupata maendeleo ilhali majimbo karibia yote yako chini ya Upinzani!? Wabunge wa Upinzani wanaojitambua wamepigania na wanaendelea kupigania maendeleo na kutatua shida za wapiga Kura wao kwa kuibana serikali kwa unyenyekevu....zingatia neno "Unyenyekevu" hapo.
Mh. Joseph Haule Mbunge pekee wa Binadamu na wanyama pori ameingia juzi tu Bungeni lakini tembelea Jimbo la Mikumi uone linavyosonga mbele kwa miradi ya maendeleo.
Tundu alistahili kuwa Mbunge wa Kinondoni, Temeke, Ubungo, Kawe n.k. Ili aendeleze harakati zake za kuunga mkono Ushoga na mengineyo. Singida mashariki wanahitaji Mbunge wa kuwasemea na kuwapigania shida zao.
 
Ukinidharau unanipunguzia kipato changu Au nitashindwa kupata usingizi!!?
Ungekuwa una umuhimu kwangu dharau yako ingenitia simanzi. Kuna kesi ngapi zilipitia katika huo mlolongo uliotaja awamu zilizopita na baadae zikaja gundulika mtuhumiwa au watuhumiwa hawakuwa na hatia!? Au kuna kesi ngapi ambazo watuhumiwa walikuwa na hatia pasi na Shaka lakini mwisho wa siku walishinda kesi hizo na tuko nao mtaani!?
Awamu zilizopita Pesa ilipindisha sana na kupokonya Haki za Wanyonge.

Nyani amekuja kugundua; mahakama au malaika?
 
Huo mfuko una bei gani? Milioni mia moja tu kama sikosei. Hebu zigawanye kwa kata zote, shule zote, vijiji vyote na hata zahanati zote na madaraja au barabara kama hawajaambulia laki moja! Sidhani kama unafanya kautafiti kabla ya kukurupuka humu! Maendeleo ya mahali hupelekwa na serikali kwani ndio wakusanya kodi na wapokea mapendejezo na maombi ya miradi kutoka kwa wabunge! Mbunge kazi yake ni kuhamasisha na kuibua miradi akishirikiana na wapigakura wake! Chunguza majimbo yanayoongozwa na ccm yana maendeleo ya kiwango gani kama siyo hakuna kabisa! Anza kuwakandia wabunge wa ccm kwanza.
Hata ungekuwa na Tsh milioni 2, zingegawanywa sehemu husika ili kuonyesha Nia thabiti ya kiongozi waliomchagua kutatua shida zao na kuwapelekea maendeleo.
Mwaka jana ilibidi Mh. Kingu mbunge wa Singida magharibi(CCM) awapiganie na kuwasemea kuhusu shida ya Maji. Hauoni tatizo hapo!?
 
Nawaomba msipate shida sana . Hiki mnachokifanya hakitawasadia kabisa.

Nimemfahamu Lisu kwa miaka kumi sasa. Ila nilimfahamu zaidi alipoingia bungeni. Lisu ni mtu aliyejijenga sana katika umahili wa kujenga hoja . Akiwa kama waziri kivuli wa katiba na sheria , amekuwa akijenga hoja nyingi sana ambazo zinasababisha mjadala mkali sana kwenye jamii. Nakumbuka kipindi kile cha bungeni la katiba, Lisu alisababisha mtafuruku mkubwa sana.

Sasa basi dawa ya Lisu ni hoja tu ,lazima hoja zake zijibiwe kwa hoja hapa tutamuweza. Sitaki kuamini eti hakuna hata mtu mmoja anayeweza kumjibu Lisu kwa hoja . Chama cha mapinduzi kina hazina ya viongozi wengi sana tena wenye ujuzi mkubwa , kwa nini mnaacha huyu jamaa anatamba namna hii , hebu anzeni sasa kujibu hoja zake kwa hoja.

Dawa ya hoja ni hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza wewe kumjibu kwa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T
Tatizo la wana CCM baada ya kuwa chama chao kuwa ndo chenƴe Serikali wameacha kujifunza na kufikiri!

Ƙiburi cha madaraƙa kuwa wana vyombo vƴa dola na vƴomɓo hivƴo kuruhusu kutumiwa na Wana CCM, kumeleta ulemavu wa fikra miongoni mwao!
Ƙila mwana CCM amebakiza majigambo ya kulinɗwa na dola hata akiumiza wananchi wenzake kwa chuki za kutoungwa mkono au ƙupongezwa kwa yale anaƴoona ƴeƴe ni matenɗo mazuri lakini wenƴe mawazo tofauti hawayaƙuɓali.
Ƙilema hiki cha wana CCM, wengine wanaita madaraka ƴa kulevƴa kwa maoni yangu si rahisi ƙwa sasa wakaondokana nacho mpaƙa serikali wanaƴoiongaza itakapoangushwa, hailishi ni ƙwa namna gani au ni lini hili litatokea.
Nimekusoma mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Singida unalinganisha na Kisarawe? Ambayo iko puani tu hapa?
Ebu nenda kaharishe kwingine tumechoka na harufu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ungekuwa na Tsh milioni 2, zingegawanywa sehemu husika ili kuonyesha Nia thabiti ya kiongozi waliomchagua kutatua shida zao na kuwapelekea maendeleo.
Mwaka jana ilibidi Mh. Kingu mbunge wa Singida magharibi(CCM) awapiganie na kuwasemea kuhusu shida ya Maji. Hauoni tatizo hapo!?
Hivi jukumu la kuwapelekea huduma za maji, afya na elimu ni mbunge siku hizi? Kama jibu ni ndiyo, serikali inayokusanya kodi jukumu lake ni lipi?
Huyo chemwali bingwa wa vidosho kipindi anajipendekeza kutoa hoja Lissu alikuwa wapi kama siyo wodini! Uwe na kumbukumbu basi eeh! Na acha hoja za kipimbi basi maana tumepishana kiuelewa na tayari nilishakugrade kuwa wa daraja duni! Tafuta wa kubishana naye anayefanana na wewe huku ni level nyingine!
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Wewe jimbo lako ni lipi tulinganishe?
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Ni asilimia 95% ya watanzania wote wanataabika tu, yaani ni bora hata hao wa SINGIDA MASHARIKI, Kuna jimbo la MSALALA limeongozwa na CCM tangu tupate uhuru hadi leo Mbunge wake ni EZEKIEL MAIGE aliyewahi kuwa Waziri wa MALIASILI NA UTARII, kwa ujumla ukufika hili jimbo ni aibu juu ya aibu.Miundo mbinu kama BARABARA, MAJI na UMEME,Vyumba vya madarasa bado ni shida kubwa mno japo Mgodi mkubwa wa DHAHABU BULYANHULU upo jimboni humo. Mbunge yupo na afya njema kabisa lkn mambo kule jimboni mwake ni ZEEEEERO.
Bora hata TUNDU LISU.
 
Serikali ina VIPAUMBELE vyake kwa mujibu wa ILANI ya Chama tawala. Mbunge kazi ni kusemea na kuwapigania wapiga Kura wake kwa kuisumbua kwa Unyenyekevu serikali....zingatia neno "Unyenyekevu" hapo. Angalia majimbo ya Upinzani yenye Wabunge wanaojitambua yanavyosonga mbele kimaendeleo.
Endeleeni na kiburi, matusi na kejeli kwa walioshika Mpini ilhali mkiwa mmeshika kwenye makali.
2020 ndio mtaelewa zaidi.
 
Ngedere kama nyinyi huwa siwajibu, sababu mko humu kimaslahi zaidi.
Hoja huna na akili pia! Ngedere aweza kuwa babako au mamako ikikupendeza! Au wadhani hayo matusi unayajua peke yako? Rudi uone nitakavyoiharibu siku yako!
 
Ni asilimia 95% ya watanzania wote wanataabika tu, yaani ni bora hata hao wa SINGIDA MASHARIKI, Kuna jimbo la MSALALA limeongozwa na CCM tangu tupate uhuru hadi leo Mbunge wake ni EZEKIEL MAIGE aliyewahi kuwa Waziri wa MALIASILI NA UTARII, kwa ujumla ukufika hili jimbo ni aibu juu ya aibu.Miundo mbinu kama BARABARA, MAJI na UMEME,Vyumba vya madarasa bado ni shida kubwa mno japo Mgodi mkubwa wa DHAHABU BULYANHULU upo jimboni humo. Mbunge yupo na afya njema kabisa lkn mambo kule jimboni mwake ni ZEEEEERO.
Bora hata TUNDU LISU.
Kupanga ni kuchagua kamanda.
Na ni UTALII sio UTARII.
 
Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!

Mleta Hoja, kasema jifuzeni kujibu kwa Hoja...
Sasa hiyo ni hoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom