Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Umeulizwa huko hivi,; Wabunge na madiwani wote mliowanunua baada ya wiki moja mkawapa ugombea walitimiza miaka miwili ccm ?

Angalia unavyong'aang'aa macho na kutukenulia mimeno!
 
Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Vipi wakina waitara walikuja Mwaka gani?
 
Nilikaa na balozi mmoja alikuwa kubwa la majasusi, aliniambia kwamba Zanzibar 1995 CCM waliiba kura. Hawakushinda.

Nilikaa na muandishi mmoja wa zamani magazeti ya serikali, aliniambia Zanzibar CCM walianza kubadilisha matokeo tangu vyama vingi havijaanza. Alisema kwamba uchaguzi wa chama kimoja wa 1985 Idris Abdul Wakil alishindanishwa na kivuli, zike kura za "NDIYO" au "HAPANA", lakini alishindwa.

Watu wa magazeti ya serikali walipata matokeo, wakaona Wakil kashindwa. Wakataka kuchapisha, wakaambiwa subirini kwanza. Serikali ikabadilisha matokeo, wakaoeea matokeo mapya yaliyobadilishwa.

Wazee wa zamani waliifanya kazi Daily News wanajua habari hizi.

CCM imeanza kubadilisha matokeo Zanzibar tangu enzi za chama kimoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jasusi mwenye mlengo wa cuf unategemea akwambie nini?
 
Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Hao wafia chama (ccm) kwa sasa wako wapi? Ndio kina pole pole? Na katibu mkuu wenu?!! Mkumbo? Hahahaha, wale ccm kindakindaki wako wapi?
 
Wapi umeona sheria inatumika awamu hii..???sheria hutumika zaidi pale inapolinda maslahi mapana ya watawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona awamu inatumia sheria, mianya ya sheria, maeneo ya sheria yenye migogoro na mahala sheria inapokaa kimya kujipendelea.

Na kama hakuna wako radhi sheria itungwe ili kufanikisha nia zao.
Mara moja moja matamko yasiyo na nguvu kisheria kutuelekeza nia zao (mfano kusimamisha kusimamisha wanasiasa wasifanye siasa majukwaani)
 
...yaani tena huko ZNZ ndio wawe makini sana, ni vigumu sana kwa chama chenye mrengo wa CUF au ACT kushinda au kupewa nchi, ni bora hata CHADEMA inaweza kupewa nchi kule kuliko hivyo vingine, hilo ni tatizo la kihistoria la kutoaminiana, kuna kale kamsemo ka "Mapinduzi Daima"....
Maria Sarungi:
Serious trouble is brewing in Zanzibar! Mark this tweet!
@ccm_tanzania is set to pass an amendment to bar all @ACTwazalendo
opposition candidates with the excuse that you have to be a member of a party for at least 2 years to qualify. This will not end well! #Tanzania

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe:
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg. @omarshaaban80 juzi alikazia maneno ya Maalim @SeifSharifHamad CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi. Hapa je?

Hapo mwishoni Zitto katika tweet yake kahoji hivyo baada ya mjumbe mmoja wa Baraza la Wawakilishi kusikika katika clip iliyoko mtandaoni akisema anakusudia kupeleka hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi kutaka kuwe na sheria itayozuia waliojiunga na vyama kutogombea nafasi ya uraisi,uwakilishi na udiwani mpaka kwanza wawe wametimiza miaka miwili katika vyama walivyojiunga.
 
Unaelezeaje wabunge na madiwani lukuki waliohamia CCM kutoka vyama vya upinzani,na kisha wakateuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama kwenye majimbo na kata walizokuwa wakiziongoza kabla?.
Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom