Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,211
- 20,955
Kama hiyo sheria inapatikana kwa kupitia utaratibu wa kikatiba haina shida yoyote! Si ndiyo Demokrasia mnayoenda kuitafuta hadi ng'ambo!
Yeye katoa maoni yake kama wengi watakubaliana nayo kelele za wachache watakaoshindwa hazina athari.
Ndiyo muone umuhimu wa kuthibiti vyombo vya maamuzi sasa.