Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

Maccm washajua kuwa lazima watagaragazwa
Hivi Uhuru wa kujiunga na Chama chochote upo wapi hapa !?.Haki ya kuchagua na kuchaguliwa /Haki ya Wanachama wote kuwa ni sawa ipo wapi !?

Unapo sema Tanzania ni Nchi yenye Mfumo wa Vyama vingi ,hii ni nini maana yake kama Haki zote umezichukua kwa Mlango wa nyuma !?.Hii ndio Demokrasia ya aina gani !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watanzania wote tumekuwa mazuzu to an extent kwamba kila kitu tunataka tuamuliwe na ccm as if hii nchi ni mali ya ccm.poor Tanzanians
 
Kama Wanachama wao kwa wao wame kubaliana na hayo Tatizo lipo wapi !?
Vingine ni rushwa tu kuliko wanachama kutaka mgombea fulani. Ukitaka kuzuia rushwa kwenye mambo kama haya, ni lazima kuweka kipindi cha mpito.
 
Tutaelewana tu. mkijifanya wababe, mnapigwa pini mahali.
suala la fujo kama ni hao alshabaab mliowaajiri, na wao watashughulikiwa.
Yaani watu wa ccm bwana sijui akili zenu zikoje,Hivi ujasiri wa kujitoa ufahamu kwamba nini ni kila kitu mnautoa wapi? mnadhani laki tatu au Saba wanazolipwa watoto wetu,baba zetu,dada zetu,kaka zetu,shemeji zetu na wajomba zetu zinaweza zikawafanya wawe misukule ya ccm muda wote wote?
 
Nimeweka Wewe Pale PCCB Utakamata Wala Rushwa
Akiwa Police Kamata, Akiwa TISS Kamata
Akiwa Police Tumia Sheria Ya Huko Huko

Kuna Mwanajeshi Nao Watakamatwa Tu Na Sheria Zote Tutamtumia
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Yaani watu wa ccm bwana sijui akili zenu zikoje,Hivi ujasiri wa kujitoa ufahamu kwamba nini ni kila kitu mnautoa wapi? mnadhani laki tatu au Saba wanazolipwa watoto wetu,baba zetu,dada zetu,kaka zetu,shemeji zetu na wajomba zetu zinaweza zikawafanya wawe misukule ya ccm muda wote wote?
Hueleweki unaongea nini! Ebu tuliza kalio ma akili kwanza wewe bavicha. Baba na mama yako wamekusomesha kwa hela za sisiemu. Usiwapangie wakufuate huko upuuzini.
 
Anayoyakataa Marekani ndio mambo kama aya ukisoma kwa makini zuio la Makonda acha ccm ijitengenezee kaburi lake yenyewe Marekani mwaka huu wa uchaguzi hata iweje anakwenda na kichwa cha mtu.
Mimi huwa sielewi why tunawategemea marekani na mataifa mengine,watanzania tupo milioni 58 hivi,ccm wapo chini ya milioni 14.hivi watu milioni 44 kuburuzwa na watu chini ya milioni 14 ni ujinga,uzembe au ubwege?
 
Hilo sio tatizo
Nchi za wenzetu vyama vina ungana muda mfupi sana uchaguzi kuanza ili kuongeza nguvu ya mapambano. Tanzania ni vikwazo tu ili kuibeba Ccm. Mambo ya aibu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyama ndio vinaungana na sio wanachama au wanasiasa. Hapa HAWABADILI katiba, mrengo, au mfumo wa vyama vyao. Ukihama kutoka chama kimoja kwenda kingine kila kitu kinabadilika.
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu , tulishasema Uchaguzi wa Marudio 2015 Shein alipata kura 57850 , na hapo alikuwa mgombea pekee !

Wanamuogopa Maalim Seif kuliko chochote
Kwahiyo Maalim ni mungu?
 
Maria Sarungi:
Serious trouble is brewing in Zanzibar! Mark this tweet!
@ccm_tanzania is set to pass an amendment to bar all @ACTwazalendo
opposition candidates with the excuse that you have to be a member of a party for at least 2 years to qualify. This will not end well! #Tanzania

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe:
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg. @omarshaaban80 juzi alikazia maneno ya Maalim @SeifSharifHamad CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi. Hapa je?

Hapo mwishoni Zitto katika tweet yake kahoji hivyo baada ya mjumbe mmoja wa Baraza la Wawakilishi kusikika katika clip iliyoko mtandaoni akisema anakusudia kupeleka hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi kutaka kuwe na sheria itayozuia waliojiunga na vyama kutogombea nafasi ya uraisi,uwakilishi na udiwani mpaka kwanza wawe wametimiza miaka miwili katika vyama walivyojiunga.
Politrics
 
Hueleweki unaongea nini! Ebu tuliza kalio ma akili kwanza wewe bavicha. Baba na mama yako wamekusomesha kwa hela za sisiemu. Usiwapangie wakufuate huko upuuzini.
Mkuu can you leave me alone? unanipotezea muda we empty head,ccm wanafanya biashara gani ya kuweza kupata pesa ya kuwasomesha watanzania?MBWA wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom