strugo
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,235
- 1,839
Kuombwa namba ni sehemu tu ya uchunguzi wa awali.Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Sawa na kwenda kituo cha polisi ukaulizwa jina lako nani?na maelezo mengne binafsi.
Mm binafsi kama mwanaume mvaa boxer LA chuma nawashangaa sana wanawake mnaokataa kutoa namba.
Wew toa namba afu msimamo wako unabaki kuwa palepale hata kama angekupigia Kwa support ya wachawi wake wote mtaa mzima if no ni nooooo
Na mwanaume akitanguliza kukuomba namba huwa ni mazingira ndo yanachangia lakni namba ni jiwe LA mwisho kurusha baada ya makombora yote kugonga mwamba au kufanikiwa
Mfano kanisani nitakuomba namba si sehemu salama sana ya kurusha makombora kwenye daladala vilevile nitakuomba,msibani, .Lengo hapa ni kuto likosa tabasamu azizi kama LA sky eklat
In summary
wanaume wengi huwa tunaomba namba maana wanawake wengne ni mwendo kasi unaweza pitiwa mbele ya kadamnasi na mtambo wa THAAD kabla hata makombola hayajamfikia