Hi mambo nipe number yako basi

Hi mambo nipe number yako basi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,383
Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.

Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.

Mnalionaje hili?
 
Hakuna ubaya unampa tu namba aisee, kama huhitaji mtongozo wake unampa namba ya gari tu, kisha unamwambia simu yangu haina charge nitafute badae basi hivyo tu yaan ya nn kuumiza kichwa kwa kitu ambacho huhitaji
 
Kuomba namba si kosa .Maana ni mwanzo wa kufahamiana zaidi.Bali matumizi mabaya ya mawasiliano ndio makosa huanza hapo.Sema wanaomba namba kwako pengine hadhi zao dogo ndio maana wewe unaona kosa ila kwa watu wenye hadhi zao wakikuomba huwezi ona kosa.
 
Kuna vitu vingi vya kushirikishana kwenye maisha apart from kutongozana , tatizo wadada mmekariri kuwa tukiwaomba no za simu tunataka kuwatongoza tu .

Unaakili saana mtu wangu

Wengi wanajua wakiombwa namba kinachofata ni kutongozwa wakati sio kweli, mwingine anataka kuwa marafiki tu na sio lingine

Mfano mzuri wa wenye mtazamo huwo ni mtoa mada
 
Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.

Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.

Mnakionaje hili?
Mimi naungana na sayoo hapo juu. Kwa hiyo kama ulikua haujajipanga kuwa na mamba ya Gari hebu itafute leo kwa ajiri ya watu kama hao. Hiyo ya ukweli unipe tu pale ambapo unaona umepata hisia za mtongozo kutoka kwangu!
 
Hayo ni maamuzi binafsi na interest za MTU , hulka au haiba yako na watu wengine uwe unawafahamu au huwajui ndiyo itakufanya utoe namba au ukatae, pia kukataa kutoa namba au kutoa namba sio tiketi ya kutongozwa

Inategemea na wewe wakati unatoa namba ulijiridhisha kwamba anataka ya nini?

Mm nakushauri usitegemee ushauri wa watu kwamba toa au usitoe, coz it is in your personal decisions!
 
Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.

Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.

Mnakionaje hili?
Mara paap! Umeombwa namba na Guma!
 
Unaomba number kwa mtu usiemjua? Kama ameolewa atamwambia mumecwake nani anapiga simu
Hakuna MTU anaemjua mwenzake mpk muishi miaka minne pamoja ndo utaweza kumjua,sasa unataka miaka minne ipite ndo mpeane namba kwel?halaf kutongozwa au kutongoza ni wewe Mwenyewe kukubali hali hyo,ukimkataa MTU usimkatae kwa maneno maana lazima atakupata tu,Ila mkatae MTU kwa matendo hapo lazima asalim amri,bahat mbaya sikuhiz sitongoz maana Nina mke tayr,Ila kipindi hcho ukinipa namba aiseee sijui utaaanzaje kukataa maana ukinitukana nam nazid kukufurahia,ukiongeza matus mm naongeza maneno matamu ya mahaba,na ole wako nitume SMS ukinijib tu imekula kwako,umri umenienda na sasa vijan wa kizaz kipya ndo wapo kwenye kuyongozana kwa sasa
 
Back
Top Bottom