Its really bad and pathetic act to people who do that...Kama hamfahamiani mtu anaanza kuku Tunu WhatsApp za maumbile yake honestly it's discus ting
Tena wengine wanaweza kuomba kutumia simu yako kumbe anajipigia ili apate number yakoInapokuwa jambo linalokosa hekima na Busara ni ovyo sana.
Lkn mwanamke kama huna interest na mwanaume tumia Busara kumnyima namba ili kuepusha makwazo na unnecessary ending!
Na wanaume hebu tujiongeze kwa kufanya pre evaluation iwapo ni worth kuomba namba kwa mwanamke flani au la.
Mfano mke wa mtu ana ishara vidoleni na smtz hata maongezi yke yanaweza kusaidia.
Utandawazi huu unachochea vibaya kutongozana bila mpangilio.
I call it uncivilized world if the black people!
Hakuna Haja Ya Kumnyima No Mpe No Alaf Kama Akileta Ujinga Block Hata Abadili No Mia Zote Block Shida Inapokuja Hao Hao Girls Ndo Wasumbufu(90%) Sana Ase Na Wanapenda Iwe Hvo WanaboaInapokuwa jambo linalokosa hekima na Busara ni ovyo sana.
Lkn mwanamke kama huna interest na mwanaume tumia Busara kumnyima namba ili kuepusha makwazo na unnecessary ending!
Na wanaume hebu tujiongeze kwa kufanya pre evaluation iwapo ni worth kuomba namba kwa mwanamke flani au la.
Mfano mke wa mtu ana ishara vidoleni na smtz hata maongezi yke yanaweza kusaidia.
Utandawazi huu unachochea vibaya kutongozana bila mpangilio.
I call it uncivilized world if the black people!
Hahahaa kazi kweli kweliHakuna Haja Ya Kumnyima No Mpe No Alaf Kama Akileta Ujinga Block Hata Abadili No Mia Zote Block Shida Inapokuja Hao Hao Girls Ndo Wasumbufu(90%) Sana Ase Na Wanapenda Iwe Hvo Wanaboa
Unijue kwani mimi ndugu yako?
Mambo?Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
No yako basi ni pmHii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Naomba namba hapa watu hawatakuhisi vibayaAlaf kwel iyo tabia inakera na ukitoa watu ulio kuwa nao karibu wanakuhisi vibaya
we ni mwanamke kwaio unategemea nini ?ni lazima iwe hivo kwa sababu ya uanamke wako wewe unataka uombwe namba ili uwe unaamkiwa shikamoo mama?Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?