Hi mambo nipe number yako basi

Hi mambo nipe number yako basi

wife kutwa hutoa namba yangu...
basi nikiona vimesej vya mambo ? umeshindaje?
napiga simu chaaap..utasikia kijana anagwaya wrong number...
nikimpigia wife watu wake wamepiga anacheeeeeeeeeeka..shenz..
 
Kutongozwa ni 1 na kukubali ni 2 ,the choice is yours.
 
Mi nilishasahau hata kutongoza kweli ugumu wa maisha ndo kipimo cha akiri
 
Namba tuu ntakupa ila kama huna la maana la kunambia na unanisumbuasumbua mm naku 'blloookk" maana si wote wenye nia mbàya.
 
If you want to be a best winner try to be a best looser,
Through that is where your destination of best winner will be.
 
wife kutwa hutoa namba yangu...
basi nikiona vimesej vya mambo ? umeshindaje?
napiga simu chaaap..utasikia kijana anagwaya wrong number...
nikimpigia wife watu wake wamepiga anacheeeeeeeeeeka..shenz..
Iko siku atapenda atatoa yake nawewe hutapigiwa atapigiwa yeye na hutajua kama amepigiwa hapo ndo patamu wewe furahia tuu hilo ukijua ni ujanja.
 
Hakuna ubaya unampa tu namba aisee, kama huhitaji mtongozo wake unampa namba ya gari tu, kisha unamwambia simu yangu haina charge nitafute badae basi hivyo tu yaan ya nn kuumiza kichwa kwa kitu ambacho huhitaji
😀 we Dada katili hivyo..
 
Kuna vitu vingi vya kushirikishana kwenye maisha apart from kutongozana , tatizo wadada mmekariri kuwa tukiwaomba no za simu tunataka kuwatongoza tu .
😀 hawajakariri ila wameangalia asilimia kubwa ya me huwatongoza baada ya kutoa #
 
Wengine mmekaa sit moja kwenye daladala tena anasubiri konda ameshachukua nauli ndiyo anaanza kwani unaelekea wapi? Nipe number basi tuongee zaidi

angelipa kwanza na yako eeeh ndo aulize

teh teh umenichekesha kweli
 
Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.

Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.

Mnalionaje hili?

Sasa si bora ww kakustahi kukuomba namba
wenzio wanaombwa papuch mda huo huo
 
Iko siku atapenda atatoa yake nawewe hutapigiwa atapigiwa yeye na hutajua kama amepigiwa hapo ndo patamu wewe furahia tuu hilo ukijua ni ujanja.
ungejua kazi zangu ungefurahi zaidi..
anyways anazo ambazo anatoa kwake sio kwangu ..la msingi sisumbuliwi mimi na akifanya yake ni yeye na maamuz yake ila nisijue wala hataonyesha..
wanawake unaishi nao kwa imani na kuwajengea imani ni kumpa trust yakutosa..so achaga kufwatilia ugonjwa wa presha
 
Sawa mkuu nimekuelewa.
 
Mwanamke aliyetulia na anayejiamini hawezi kuona hili kama tatizo. Unajua hadi mwanamume akuombe namba kwa ajili ya kukutongoza ujue tu na wewe umekaa kutongozwatongozwa. Kuna wanawake ile unakutana naye tu unajua kabisa tabia yake na kwamba sio mwanamke wa kutongozwatongozwa hovyo na hauwezi kudiriki kumuomba namba ili umtongoze.
Sasa unakuta mdada amevaa kihasarahasara tu na mapaja nje, matiti nje, gumbo nje, kiuno nje n.k halafu ukiombwa namba ili utongozwe unaona shida???
Acheni maigizo. Sisi wanaume tunawajua kwa kuwaona tu
 
Back
Top Bottom