Kuna nyingine hakupi.....wife kutwa hutoa namba yangu...
basi nikiona vimesej vya mambo ? umeshindaje?
napiga simu chaaap..utasikia kijana anagwaya wrong number...
nikimpigia wife watu wake wamepiga anacheeeeeeeeeeka..shenz..
tatizo haufwatili sredi mkuu..nimeeleza na hili pia ..Kuna nyingine hakupi.....
Nothing serious dude...tatizo haufwatili sredi mkuu..nimeeleza na hili pia ..
yani ulicho quote ni scenerio moja, na nika comment another scenerio ya zungine kutonipa dial
none taken famNothing serious dude...
Unatakiwa kuomba namba kwa.MTU wa aina gani?Unaomba number kwa mtu usiemjua? Kama ameolewa atamwambia mumecwake nani anapiga simu
Aaahh wapiii ww msumbufu kwa vyovyote.😀 haya naomba # yako kwenye pm yangu.....
Hi, Sky can i get your number please??Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.
Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnalionaje hili?
Naomba nambaHii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.
Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnalionaje hili?
Ni kweli shemeji. Sisi madomo zege hapo tunakuwa tumejitahidi sana. Siku hizi ndio maana wanasema wanawake wamekiwa warahisi maana akiombwa namba katoaHii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.
Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnalionaje hili?
Oya ntake radhi me namiliki dushe😀 we Dada katili hivyo..
We mdada kwan namba ni tatizo? Halafu mkishindwa kusaidiwa baadae muanze kulalamika. Hi you!Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.
Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnalionaje hili?
Ukitaka kula vizuri hutakuwi kuwa na haraka.wanaomba namba haraka haraka huwa sio wanaofaidi.hakuna raha kama kuongea na mwanamke mzuri halafu humwombi namba wala jina lake.unaondoka na just a clue ya kukutana nae tena bila yeye kujua ameshatoa direction.Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.
Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnalionaje hili?
yes ni kuumpa go AheadHii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.
Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnalionaje hili?
In real sense anakuwa haombi namba ila anaomba ngonoHii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa number.
Kwa mtazamo wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnalionaje hili?