HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Toka applications zimeanza naingia na kutoka jamii forum kumpambania mdogo wangu walau kumpa matumaini ya update lakini mpaka sasa hola account haifunguki batch one na two zote hatujapata licha ya kuanbatanisha uthibitisho wa ulemavu wake. Nahisi maumivu makali mno, sijui atajiskiaje nitakapomwambia na batch ya tatu tumekosa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Pole yupo mwaka wa ngap?
 
Pole sana.
Mtandao ni shida hali tete
 
Kwani continuous Mwaka hawapati sijaona board ikiwazungumzia
 
Una mchechetoo weyee khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatzo muda naona umeenda na registration wanataka hela, mhuni ndio nategemea hela ya mkopo nigharamie gharama zte hz
 
Binti mwingine huyu, akaunti yake muda huu inasoma hivi 👇👇
Screenshot_20231102_222528_Chrome.jpg

Ni kilio tu mtaani watoto!!
 
Tatzo muda naona umeenda na registration wanataka hela, mhuni ndio nategemea hela ya mkopo nigharamie gharama zte hz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa mpoleee bhanaa.
 
Zimerudi mambo ninyale yale
Wait for final...labda ndo ukweli dogo alishakosa kama mdamu mmoja alivyotanabaisha, kama haijasoma SIPA mpaka leo tufanye mengine.
[emoji81][emoji81] halafu wanaandika wait for final results hahaha haya bana
 
Naamini leo mambo yatakuwa mubashara mkuu. Kama umeandikiwa wait for final results obviously lazima wakupe hiyo final results hauwezi kubaki hivyo.

Batch zote zilizopita walikuwa wanatoa allocations kwa siku mbili, mfano batch one walianza kutoa kwa baadhi ya akaunti tarehe 20 hadi 21.

Batch two walianza kutoa tarehe 27 ijumaa na wengine waliendelea kupangiwa allocation hadi jumamosi ya tarehe 28.

Kwahiyo huenda na hii batch 3 wakaanza jana hadi leo wakaendelea kwahiyo vuta subira hadi wakiingia kazini asubuhi unaweza kuona mabadiliko kwenye akaunti yako.
 
Back
Top Bottom