HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Vipi kwa wale continuous inakuaje? Maana kwa taarifa ya board wamesema hii batch ya 3 ni ya Mwaka wa kwanza ndio wamepewa so sijajua kuhusu continuous inakuaje mwenye taarifa yoyote atujuze
 
Naamini leo mambo yatakuwa mubashara mkuu. Kama umeandikiwa wait for final results obviously lazima wakupe hiyo final results hauwezi kubaki hivyo.

Batch zote zilizopita walikuwa wanatoa allocations kwa siku mbili, mfano batch one walianza kutoa kwa baadhi ya akaunti tarehe 20 hadi 21.

Batch two walianza kutoa tarehe 27 ijumaa na wengine waliendelea kupangiwa allocation hadi jumamosi ya tarehe 28.

Kwahiyo huenda na hii batch 3 wakaanza jana hadi leo wakaendelea kwahiyo vuta subira hadi wakiingia kazini asubuhi unaweza kuona mabadiliko kwenye akaunti yako.
Mhh kwakwelii hapa niache kujidanganya
 
Vipi kwa wale continuous inakuaje? Maana kwa taarifa ya board wamesema hii batch ya 3 ni ya Mwaka wa kwanza ndio wamepewa so sijajua kuhusu continuous inakuaje mwenye taarifa yoyote atujuze
Walisema baada ya batch ya tatu itakuwa awamu ya continuous.
 
Vuta subira mkuu maana hadi kufikia kesho utapata uhakika naamini Mungu atatenda ukuu wake.

Mimi wamenipa Meals and accommodation pamoja na Books and stationery pekee.

Ada wameninyima hawajanipa hata mia aise.
Wakati wa kukata rufaa ukifika kata rufaa.
 
Toka applications zimeanza naingia na kutoka jamii forum kumpambania mdogo wangu walau kumpa matumaini ya update lakini mpaka sasa hola account haifunguki batch one na two zote hatujapata licha ya kuanbatanisha uthibitisho wa ulemavu wake. Nahisi maumivu makali mno, sijui atajiskiaje nitakapomwambia na batch ya tatu tumekosa
Kama mwaka wa kwanza ndio alitakiwa aanze , anaweza kusubiri kuApply mwakani asikate tamaa wapo wengi waliopata kadhia kama hiyo wakaona bora wake nyumbani wasubiri next year kutokana na changamoto hizo na kutokuwa na uwezo wa kujisomesha ila hatimaye wakapata mwaka unaokuja.
 
Kama account ilikuwa inasoma wait for final results na sasa inasoma an error occurred please try again inakuwa inaashiria matumaini ya kupata mkopo au ndiyo basi tena?
 
Kama account ilikuwa inasoma wait for final results na sasa inasoma an error occurred please try again inakuwa inaashiria matumaini ya kupata mkopo au ndiyo basi tena?
Yaani ya mdogo wangu inasoma hivi tangu jana saa nne usiku
 
Kama account ilikuwa inasoma wait for final results na sasa inasoma an error occurred please try again inakuwa inaashiria matumaini ya kupata mkopo au ndiyo basi tena?
Ninachoamini ni kwamba wakisema wait for final results kuna possibility ya kupata mkopo.

Mfumo utakuwa unasumbua kwakuwa bado wanaendelea kufanya allocation.
 
Ninachoamini ni kwamba wakisema wait for final results kuna possibility ya kupata mkopo.

Mfumo utakuwa unasumbua kwakuwa bado wanaendelea kufanya allocation.
Na ikitokea mwenye status inayosoma wait for final results asipate mkopo let's say until next week je, uwa kuna message nyingine mpya inayowekwa kuonyesha kwamba kwa sasa kakosa mkopo au message inabaki hiyo hiyo na mwenye akaunti atajijua mwenyewe na kutafuta njia mbadala ya kugharamia masomo yake?
 
Sina uzoefu nalo sana ila ninachoweza kusema ni kwamba statement kama hiyo lazima iwe na matokeo ya mwisho kwa maana lazima wakutumie ujumbe aidha wa kufanikiwa kupata mkopo ama kutopata kisha utaona kama ukate rufaa ama vinginevyo.
 
saiz inajibu hivi kwenye sipa ya dgo

Unable to acquire JDBC connection.nested exception.JDBC on nection exception:unable to acquire JDBC
 
Kwanza hongera zake,
Amepata lini?
Allocation yeye aliziona siku ya Jumanne asubuhi.

Nami pia nikathibisha baada ya jana kuona hivyo hivyo kwenye account yake ya SIPA.
 
Sa
Toka applications zimeanza naingia na kutoka jamii forum kumpambania mdogo wangu walau kumpa matumaini ya update lakini mpaka sasa hola account haifunguki batch one na two zote hatujapata licha ya kuanbatanisha uthibitisho wa ulemavu wake. Nahisi maumivu makali mno, sijui atajiskiaje nitakapomwambia na batch ya tatu tumekosa
Samahani, huyo mdogo wako jina lake linaanzia na initial letter gani btn A - Z ?
 
Nimewapigia board majibu waliyonipa yamenihudhunisha,nikasema moyoni wale unaosikia wamejinyonga si wa kuwalaumu bali kuna sababu hasa,Inasikitisha sana
Inasikitisha mno mkuu japo hujasema walikujibu nini ili tupate cha kukushauri.

Pia kama hutafanikiwa kwenye batch hii basi usikate tamaa kata rufaa maana wapo ambao hawakupata kabisa lakini walichomoka kwenye rufaa na kupata 100% mkopo.
 
Back
Top Bottom