HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

mm mwenyewe nahisi dgo wame mchapa mtama, Account imechange into SIPA tangu juzi ila hakuna maokoto
Mimi huwa nakuwa mtu wa mwisho kuamini katika kushindwa mkuu.

Vuta subira hadi kesho maana huenda bado wanaendelea kufanya activation kwa baadhi ya akaunti.

Ikishakuwa SIPA wewe ni mnufaika huenda ni system tu inashindwa kufanya allocation ila vuta subira.
 
Hi Ina maaana gani kwa anayefaham
Screenshot_20231103-154237.jpg
 
Back
Top Bottom