hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 328
Umekosa kwa taarifa ipiNimeshakosaView attachment 2801643
Umesoma hapo?Umekosa kwa taarifa ipi
Umeandikiwaj kweny accountUmesoma hapo?
Majibu yametoka leo account hakuna kilichopo.
Nasubiri appeal
Wait for final resultsUmeandikiwaj kweny account
Sshvi inasoma errorUmeandikiwaj kweny account
Wait for final result
MmhBasi hujakosa,kuw Mvumilivu mpaka kesho
Siyo mimi ni mmoja kati wanafunzi niliowafanyia application ndiye kapata Kwenye hii batch3.Hongera sana die wengine hakuna ktu
Mmh Nini sasa,kesho utakuja nishukuru,we vumilia usiwe na stress Wala Nini,na Kam huko kwenu mvua inanyesha chukua blanket jifunike,mkopo ushapata na mwaka huu unaenda chuo in shaa Allah
imebadilika kuwa SIPA siku ya tatu sasa ,but mpaka saasa holaaNaamini watamuwekea tu awe na subira maana muda waliosema haujaisha.
Pia akaunti huenda zina update taratibu kwahiyo unakuta mwingine amepata allocation mapema na mwingine ikachelewa kidogo.
Kikubwa kama imebadilika kuwa SIPA uhakika ni almost 99.9% mkuu.
Mimi yangu iko hivo piaKuna vijana wamenionyesha akaunti zao zinaonyesha kitu kisichotafrika!View attachment 2801669
Insha'Allah kesho tutaonaMmh Nini sasa,kesho utakuja nishukuru,we vumilia usiwe na stress Wala Nini,na Kam huko kwenu mvua inanyesha chukua blanket jifunike,mkopo ushapata na mwaka huu unaenda chuo in shaa Allah
Allocation inaendelea..tulia utapangiwa mzeeAccount zinazingua kufunguka saiz
mkuu mm nimegraduate before 2020.Allocation inaendelea..tulia utapangiwa mzee
Hongera kapata ada nyingi wengine wanapata 230,000 kwa course hiyo hiyo.View attachment 2801685
Bint yetu alichaguliwa BSNRC pale
MUST, kwenye loan kaambulia kama inavyoonekana hapo kwenye kiambatanisho.
Mbona sijaona taarifa ya continuous?NimeshakosaView attachment 2801643