hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 328
Hongera sana die wengine hakuna ktuChungulieni Account zenu Mambo tayari wale mlio kuwa mnaona SIPA lakini no approved allocation. Allocation tayari.
Hongera sana die wengine hakuna ktuChungulieni Account zenu Mambo tayari wale mlio kuwa mnaona SIPA lakini no approved allocation. Allocation tayari.
Same hereeWait for final result..Hawa nao vipi
Muda wetu hujafika,tuendelee kusubiri,Mungu ana Jambo na sisi.Same heree
Mmh jamaniMuda wetu hujafika,tuendelee kusubiri,Mungu ana Jambo na sisi.

Nashukuru Mungu mimi wamenipa allocations sema wamenipa Meals and accommodation 2,590,000 na Books and stationery 110,000.mbona mbungi bado ngumu
Vuta subira mkuu maana hadi kufikia kesho utapata uhakika naamini Mungu atatenda ukuu wake.Mmh jamani![]()
Heri hta wewe.Nashukuru Mungu mimi wamenipa allocations sema wamenipa Meals and accommodation 2,590,000 na Books and stationery 110,000.
Ada wameninyima hawajanipa hata mia aise.
Mimi wanipe hata ya kula tu jamaniVuta subira mkuu maana hadi kufikia kesho utapata uhakika naamini Mungu atatenda ukuu wake.
Mimi wamenipa Meals and accommodation pamoja na Books and stationery pekee.
Ada wameninyima hawajanipa hata mia aise.
Fact..haijaisha mpaka iishe.Vuta subira mkuu maana hadi kufikia kesho utapata uhakika naamini Mungu atatenda ukuu wake.
Mimi wamenipa Meals and accommodation pamoja na Books and stationery pekee.
Ada wameninyima hawajanipa hata mia aise.
Vuta subira mkuu maana hadi kufikia kesho utapata uhakika naamini Mungu atatenda ukuu wake.
Mimi wamenipa Meals and accommodation pamoja na Books and stationery pekee.
Ada wameninyima hawajanipa hata mia aise.
Nawe ilikuw wait for final results?Nashukuru Mungu mimi wamenipa allocations sema wamenipa Meals and accommodation 2,590,000 na Books and stationery 110,000.
Ada wameninyima hawajanipa hata mia aise.
wamekuwekea muda gani? mm sipa ya dogo bado holaaNashukuru Mungu mimi wamenipa allocations sema wamenipa Meals and accommodation 2,590,000 na Books and stationery 110,000.
Ada wameninyima hawajanipa hata mia aise.
Dah, labda akaunti zina update slowly kwahiyo vuta subira ndugu pia zidisha imani kwamba utapata.Mimi wanipe hata ya kula tu jamani
Jioni hii saa 12 ndo nimeona wameweka.wamekuwekea muda gani? mm sipa ya dogo bado holaa
Huenda akaunti zina update slowly sio kwa wakati mmoja hivyo kuwa na imani kikubwa uwe unaangalia mara kwa mara usiku huu hadi kufikia kesho jioni itakuwa fresh naamini mkuu.wamekuwekea muda gani? mm sipa ya dogo bado holaa
Yah, iliniandikia wait for final results hadi jana ndo ikabadilika kuwa SIPA.Nawe ilikuw wait for final results?
Naamini watamuwekea tu awe na subira maana muda waliosema haujaisha.wamekuwekea muda gani? mm sipa ya dogo bado holaa
Itakuwa hivo in shaa AllahYah, iliniandikia wait for final results hadi jana ndo ikabadilika kuwa SIPA.
Leo jioni nilivyofungua ndo nikakuta allocations.
Sema kuwa na imani tu maana akaunti inaweza kubadilika kuwa SIPA ikakaa muda mrefu kabla ya kufanyiwa allocation lakini akaunti nyingine ikawa inasema wait for final results then muda huo huo ikabadilika kuwa SIPA na kuwekewa allocation kabisa.
Kiukweli sio kila mtu atapata najitahidi kujikumbushia Ili nisije kuumia mwishowe bureHuenda akaunti zina update slowly sio kwa wakati mmoja hivyo kuwa na imani kikubwa uwe unaangalia mara kwa mara usiku huu hadi kufikia kesho jioni itakuwa fresh naamini mkuu.
Kwa watakao pata wewe utakuwemoKiukweli sio kila mtu atapata najitahidi kujikumbushia Ili nisije kuumia mwishowe bure