Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,323
- 115,323
A'aleykum Binamu!Binamu !!!
Niambie binamu mana sijafika kule kwenye uzi unaowekaga kambi ule hivyo sikupata kukuona muda sasa. Mzima?
A'aleykum Binamu!Binamu !!!
Safi sana Shem.Mimi hicho ndo kitengo changu cha kudumu.
Nami pia nimelipitisha. 😅😅Hahaha Mkuu..inaelekea tumepata moja ya great thinkers humu..karibu sana lovie..usijali jina limepita kwa upande wangu..lol..sijui wengine..lol
Mpenzi pia tusicheleweshe jambo hili, nina shauri kuwa tuitishe kikao cha dharura kisha tuweke mikakati mezani dhidi ya adui zetu mabazazi wanaotunyanyasa humu.
Yote heri karibu sana..mkuu.. Hiv ile I'd yako ya zamani hauitumii tenaHayo
Hayo ndo uliyoyajaza kichwani kwako eti? nitajiongoza mwenyewe, upo?
sawa mjukuu wetu.Natumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Bibi waonaje nikimbeba huyu miss weapon..?
Tatizo mgumu utadhani katokea Afrika ya kusini!!!Kila la kheri baba mimi napenda sana watu wakiwa na Mahaba ya kweli sio ya kuchomoleana betri.
Tatizo mgumu utadhani katokea Afrika ya kusini!!!
Karibuni mama, hebu tujuze ni mapinduzi gan hayo uliyokuja nayoNatumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Ha ha haya ndo mambo ngoja nijikune kisogo mambo yawe mamboHaya kama umekata tamaa, wenzio wataendelea ulipoishia aahahahhaaa.
Kumbuka: Simba mwenda pole ndo mla nyama...
Mhh unalo mwaka huu, utatabili hadi upasuke babu ehhh.Yote heri karibu sana..mkuu.. Hiv ile I'd yako ya zamani hauitumii tena
Tena kule kwenye machafuko Mr.Tatizo mgumu utadhani katokea Afrika ya kusini!!!
Sayoo umenipata baba.Dhana ya mifumo dume iliyo jijengea mizizi humu JF, Ukuu, uonevu na haki sawa dhidi ya uonevu wa kijinsia.
Nipe nafasi uone kuwa sikuja kwa bahati mbaya kwenye dunia hii Bali kwaajili yako kukupa raha bila karaha Tena utamu usioisha hamu,sikupi dunia ila kile kitachokufanya uifurahie dunia mpenzi wa enzi.Tena kule kwenye machafuko Mr.
Mhhh una maneno mwanaume wewe😨😨Nipe nafasi uone kuwa sikuja kwa bahati mbaya kwenye dunia hii Bali kwaajili yako kukupa raha bila karaha Tena utamu usioisha hamu,sikupi dunia ila kile kitachokufanya uifurahie dunia mpenzi wa enzi.
Mhhh una maneno mwanaume wewe😨😨Nipe nafasi uone kuwa sikuja kwa bahati mbaya kwenye dunia hii Bali kwaajili yako kukupa raha bila karaha Tena utamu usioisha hamu,sikupi dunia ila kile kitachokufanya uifurahie dunia mpenzi wa enzi.
Wacha weeh unaonekana una mipasho Sana we mzaramo mkuu?Mhh unalo mwaka huu, utatabili hadi upasuke babu ehhh.
Mimi Sina maneno ila mapenzi juu yako ndo yanabubujika ktk namna hiyo..Mhhh una maneno mwanaume wewe😨😨
Eh eh eh japo umenichekesha lakini hapa kweupe Mr, pambana naWacha weeh unaonekana una mipasho Sana we mzaramo mkuu?
Eh eh eh umenichekesha, hapa KENZY huku MLEVI kazi ninayo kwa kweli, Ee Mungu nihurumie mtoto wako.Wacha weeh unaonekana una mipasho Sana we mzaramo mkuu?