Hellow

Natumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Karibuni mama, hebu tujuze ni mapinduzi gan hayo uliyokuja nayo
 
Tena kule kwenye machafuko Mr.
Nipe nafasi uone kuwa sikuja kwa bahati mbaya kwenye dunia hii Bali kwaajili yako kukupa raha bila karaha Tena utamu usioisha hamu,sikupi dunia ila kile kitachokufanya uifurahie dunia mpenzi wa enzi.
 
Mhhh una maneno mwanaume wewe😨😨
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom