ContentCreator
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 145
- 216
Wakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.
Kuna kazi fulani nafanya nalipwa zaidi ya Milioni 1 kwa mwezi je niachane nayo niende law school au niendelee na hiyo kazi. Na isitoshe hiyo kazi inategemea mda mwingi niwe na computer na simu mda mwingi.
Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Ahsanteni