- Thread starter
- #181
Unaona eeh!! lakini kiongozi usinipimie kihivyo, sie wengine hatupigi makelele kabla ya kumaliza kazi.
Kamanda wangu Asprin sijui yuko wapi, anajua sisi ni "slow but sure". Halafu raha ya mwanamke umpate kwenye ushindani, sio kushika mkono tu tayari. Ila wasiwasi wangu ni kwamba hawa vijana kwa mwendo huu wanaweza kuua bendi mapemaaaa!!sijui ndo wanafanya Practical training!!:teeth:
Mura unachokosa unataka kureta machembe muchini kuja kurima rami! Nimenyamasa sana naona unataka kuua nyoka na fimbo ya mbali pole sana utaumia sana ukishindana na mimi kaka hawa watoto kuna vitu fulani wanataka kwenye maloveee na hapa ni kisimani wanazunguka karibu kabissa na hawachezi mbali nami