Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 338
sahara alifanya counter attack lkn zote zikagoma inabidi ajipange upya
Hakuwa strategic aka-loose all!

nipo la aziz....kinachonisibu mpaka sasa ni kwamba....sijui leo ni lini, na ni nini kinaendelea mpaka sasa hapa ndani.....
Mambo ya JF Arusha........ Arusha ndio mwanzo mwisho!
najua vile ntafanya,,,umezidi sasa kha!
Mambo ya JF Arusha........ Arusha ndio mwanzo mwisho!
hey hey hey!!method nini tena?
Kama hali nyenyewe ndo hii, itabidi nikusaidie kiongozi wangu kuondoa huu utata. Vinginevyo WL anaweza kuzua la kuzua kama tusipochukua hatua za haraka. Pls WL hebu nitafute haraka ili unijulishe whats going on.
Lakini pia unajua bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, na kweli katika hili WL ametesa vibaya, yani nyota yake ilikuwa juu sana jana, hadi mi mwenyewe nimekubali ingawa huu mvutano umenipa wasiwasi inabidi wazee wa kazi tuingilie kati.
Ila Preta wangu kimyaaa sijui alifichwa na nani, kweli fimbo ya mbali haiui nyoka. Pamoja na kutoa ng'ombe na kuua nyani lakini wapi bwana maumivu yako pale pale. Kila nikijaribu kumvutia waya naambiwa "ze namba ur calling iz not richabo".
Ukipa pata hiyo dawa na mimi nipe kidogo mkuu!

My Wiselady where u @ now?
Vipi tena, hutaki tujionee jinsi ulivyotisha mama.
usiwe na shaka zile nyingine wakati wanapigana vikumbo zitahifadhiwa, hmethod anajua anachofanya.

ryt here 4 u,,,,,,kimey ndo hivyooooo
Unaamini hivyo? muulize derimto
Nitake radhi.
Mbona sikumsikia anasema hayo bulaza??!!
Inawezekana yupo kimwili but kiroho yupo nami!! Usihofu enjoy kwa sana!!!
Nani kamtia machoni bi Dena Amsi?
mmmhh!!!!!!!!! Ndio hizo xmass au nini tena ???
naomba uniangazie malaria sugu yupo?