Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Habari yake Derimto! Hapa wote ni hangover tu! Kuamka jioni.

Niko Fresh kaka ila mzunguka zaidi kichwani kwangu washkaji nashindwa kuwatoa jana ilikuwa moto mbaya kabisa nawamic mmwagie maji Matty na mwambie Big.na Teamo kazi yao kubwa mwanajamii1 ananitesa.
Kama wewe umeweza kuamka una nguvu kaka nakuchia FL rasmi.
 
Hahaha nikimbie mji? Nipo na my wiselady hapa anikanda wakati supu inachemka jikoni!

Wapi bana Wiselady nipo nae hadi sa hivi hajaamka..huyo ulienaye ni wa kuchakachua!
 
Niko Fresh kaka ila mzunguka zaidi kichwani kwangu washkaji nashindwa kuwatoa jana ilikuwa moto mbaya kabisa nawamic mmwagie maji Matty na mwambie Big.na Teamo kazi yao kubwa mwanajamii1 ananitesa.
Kama wewe umeweza kuamka una nguvu kaka nakuchia FL rasmi.
Ha ha ha
Maty yupo fresh kabsaa! Big na Teamo mambo mswano! Swala kuniachia wise lady hilo halina mjadala kabsaa!
 
Hahaaa mi sivitaki vya mshariti nafuu nataka hivyo hivyo nilivyotuma, usiniambie unaogopa kuniletea, nikiasi cha kumkamata simba unamtanua mdomo then unakata, hata rhino usimuogope sawa eeh.

Nimekuletea chawa za simba maana nasikia ni dawa kali sana ya maenzi ukimpa eng.smash anatakuwa anakupenda mpaka analia machozi tu atakupenda ki mwaipopo. Achana na yule mganga wako wa kizamani anayevaa mayenu siku hizi.
 
Wapi bana Wiselady nipo nae hadi sa hivi hajaamka..huyo ulienaye ni wa kuchakachua!

Maneno haya ninakubaliana nayo kwa 75% pasipo shaka yoyote ila Kimey na saharavoice sijajua wao wana FL yupi kwa sasa.
 
Jamani jana kulikua hamna refa wala mpole.... watu walikua wana chakachuliana... Ukisimama tu mtu ana fidia GAP...
 
Kasoro mimi tu!..Mimi nilikuwa makini mdogo wangu, si uliona eeh?...wengine wote hadi pombe wamenyweana!
 
Wiselady zidisha maombi.Huko Tarangire kuna mbwamwitu wakali sana.Vipi The Finest naye yupo?
 
Wapi bana Wiselady nipo nae hadi sa hivi hajaamka..huyo ulienaye ni wa kuchakachua!
Du...Huyu WiseLady itabidi sasa niingilie kati nimwite ofisini kwangu kama Mwenyekigoda, ili nijue namna ya kumsaidia au kumpa ushauri-Nasaha, maana inaonyesha nyota yake ya MALAVIDAVI inang'aa mno...
Inabidi nisafiri nae hadi huko Koogwe Tanga ili wakapunguze makali ya nyota, vinginevyo nahofia hawa jamaa siku moja watamchana viwembe!
 
Kasoro mimi tu!..Mimi nilikuwa makini mdogo wangu, si uliona eeh?...wengine wote hadi pombe wamenyweana!

Hukuaga mwenyekiti wangu hivyo cna uhakika uliondoka na nani maana umebaki kuwa invisible.
 
Mkuu,
Usiishushie hadhi ofisi-heshimika ya Mwenyekiti bana!...
Niliaga Mkuu, na wote wanajua hilo, ila wewe ulikuwa umemng'ang'ania mno LD, ukimpa TLC(TenderLove Care)...nikaona bora niwaacheni tu, maana hukuwa katika mood ya kuelewa neno!...lol!
 
well said swirry,,me miss u already
Bora mwaya...ushikwapo shikamana!
Usije baadae ukasema ...ooohhh Mwenyekigoda alikuwa anabana nafasi ya kuzungumza na wandani wetu...ooohh alituzuwia tusiuze sura...kama mlishindwa iam out of blame!...nilitenda haki bana...right?
 
he he he!out of blame how?ur the source of conflict,,,,halafu una kesi na mm
 
Teamo, Big na Kimey mmemsahau digidigi The Finest ndo anazinduka saa hizi na Asprin ameshaonya ole wetu kondoo wake apote tafadhali hapo mlipo rudini kumchukua.
 
Nimekuletea chawa za simba maana nasikia ni dawa kali sana ya maenzi ukimpa eng.smash anatakuwa anakupenda mpaka analia machozi tu atakupenda ki mwaipopo. Achana na yule mganga wako wa kizamani anayevaa mayenu siku hizi.

Nitake radhi.
 
Teamo, Big na Kimey mmemsahau digidigi The Finest ndo anazinduka saa hizi na Asprin ameshaonya ole wetu kondoo wake apote tafadhali hapo mlipo rudini kumchukua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom