- Thread starter
- #61
Flower wa ukweli hujambo bibie?
halafu nimekumiss, utaniletea zawadi toka Tarangire?
Sidhan kama atakumbuka maana ameshikiliwa na ncha kali amebana kweli nakupa pole
Flower wa ukweli hujambo bibie?
halafu nimekumiss, utaniletea zawadi toka Tarangire?
Dah mm nipo mzima kabisa
Ngoja tuwaombee hao wa mbugani wasije furumishwa na Simba bure
Sipati picha Wiselady ukitolewa baru na fisi sijui utakimbiaje?
kuleni raha wakuu wengine ratiba ziligongana.. have maximum enjoyment
Kujitolea ni issu sana mkikutana na SIMBA kalala basi moja ajitole kumuamsha...
luv you guys ,enjoy urself
Kujitolea ni issu sana mkikutana na SIMBA kalala basi moja ajitole kumuamsha...
Kijana kumbuka kuwa na heshima na adabu kwa mke wa mtu.
Huyo shosti nimetoka kuchinja nyani juzi kati tu pale yaeda chini halafu wewe unaanza kutafuta network!
Preta usije kunisaliti na hivi vitrip vya siku moja Tarangire, mwenyewe unajua Serengeti ilivyojaa maajabu.
Nna hamu ya kuona shanga hizo!Dah....ngoja kwanza
Nna hamu ya kuona shanga hizo!
Gharama bongo bana!Za watu hizi maana mwenyewe kazigharimia
isee... anyway enjoyin mazee
Msisahau kuniletea ulimi wa simba mganga wakienyeji kanituma na macho ya Rhino.
Derimto hebu nichekie mama wa busara hapo nilikupa unilindie
heheeeeeeee...hey loner, haututakii mema eeh? yaani 2mekutana na simba kama 50 hv wameziba njia. ilibidi tupige simu kwa jamaa wa game!...kilichotokea kwa baadhi ya members baada ya tukio hilo nitawasimulia.
Ebwanaee, kumbe hii kitu ni leo! mi nilishasahau kabisa, mbona hukunikumbusha rafiki? nitumie picha basi.
Mkuu nikamatieni vile vijamaa vyenye kengele za bluu, naskia ukimpata yule mambo yote shegaimetekelezwa km ulivyoomba, teamo, finest, kimey, kaizer na st rr na wengine kbao wametujoin so watakuletea hizo maneno.
Dear JF members tunamshukuru Mungu tumetoka salama mbugani bila kwere wala Mwita Maranya I miss u 2 I wish ungekuwepo leo, naona kuna members wanamiss Wise Lady na Derimto cjui tumewaacha getini? PJ du ze nidiful.