Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Mkuu, hii thread ni ya mwaka jana na picha zipo nadhani page ya sita! Check vzuri.


.
mbona hata picha hamrushi isije kuwa mko hapo Kibo Palace mnalamba maji huku mnaturusha roho.. mnaingia tarangire

si unajua wote wajanja wewe una jina langu 'paka' mimi nina sura yako ' avantar'
 
Huyu sijui kama anakumbuka ahadi?

hahaha,

kwa kweli nilishasahau mpendwa. asante kwa kunikumbusha. vipi hao mambo ya tarangire ni lini tena?

ubarikiwe sana!

Umemwibulia wapi huyu mtu? Nakumbuka enzi za Loliondo nilipambana nae mno!
Enzi hizo Filipo yuko kwao Singida anashinda machungani.

haha,

za siku nyingi mpendwa PJ?

ubarikiwe mpendwa,

Glory to God!
 
hahaha,

kwa kweli nilishasahau mpendwa. asante kwa kunikumbusha. vipi hao mambo ya tarangire ni lini tena?

ubarikiwe sana!



haha,

za siku nyingi mpendwa PJ?

ubarikiwe mpendwa,

Glory to God!

This time mambo iko Tanga na siku ni tr 28 hadi 30. Gharama ni 100,000 kwa wanaotokea Arusha. Wa Dar wanawasiliana na Madame B!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom