Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Hellow JF! Mambo iko Tarangire

@ Kimey... Mimi niko poa sana.. Nimefurahi kwamba mefika salama nyumbani.. Mwaka mpiya wapi?
 
nasikitika sana kuikosa safari hii jamani sijui ni lini itajirudia!!!!kama kuna uwezekano tufanye tena next summer kama mwezi august hv!
 
Nimeona niupandishe kwenu huu mjadala ili kuwaonesha wenzetu kwamba tunamaanisha tunaposema JF Arusha is beyond keyboard!
 
Huyu sijui kama anakumbuka ahadi?
Umemwibulia wapi huyu mtu? Nakumbuka enzi za Loliondo nilipambana nae mno!
Enzi hizo Filipo yuko kwao Singida anashinda machungani.
 
Last edited by a moderator:
Umemwibulia wapi huyu mtu? Nakumbuka enzi za Loliondo nilipambana nae mno!
Enzi hizo Filipo yuko kwao Singida anashinda machungani.

hah hah hah hah hah! Mkuu umenichekesha sana! Ngoja nikalale.
 
Last edited by a moderator:
Nataka tu wafahamu haya tunayoyafanikisha sio kitu kilichoanza ghafla.
 
Nataka tu wafahamu haya tunayoyafanikisha sio kitu kilichoanza ghafla.

.....yeah Filipo waache uoga/uvivu wa kukutana na kujuana..wote ni watanzania woga wa nini? Mgeni (alitoa introduction) tunamkaribishaje Filipo?
 
Last edited by a moderator:
.....yeah Filipo waache uoga/uvivu wa kukutana na kujuana..wote ni watanzania woga wa nini? Mgeni (alitoa introduction) tunamkaribishaje Filipo?

Nataka nifahamu kwanza ni kimiminika gani anatumia! Kama ni ile yetu, tunaenda nae hata Tanga!
 
Last edited by a moderator:
Enzi hizo nilikuwa sijazaliwa humu JF !!! Nashukuru nimechelewa kidogo but nimefanikiwa kwenda nanyi sambamba!!!
Huyu Derimto yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Enzi hizo nilikuwa sijazaliwa humu JF !!! Nashukuru nimechelewa kidogo but nimefanikiwa kwenda nanyi sambamba!!!
Huyu Derimto yuko wapi?

huyo member yupo ila network hazisomi!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nachoka kabisa Preta pembeni na ila nachoka kugeuza shingo nyuma pamepambwa na Lili Flower, Wiselady,Pj.chipkizi yaani watu kibao gari limepambwa na marafiki wa ukweli familia ya upendo hatujali itikadi wala dini ya mtu utadhani tumezaliwa pamoja kuna upendo wa ajabu sana natamani kama tanzania nzima tungekuwa huku muziki wa kutosha vinywaji mwake kwenye gari vitafunwa story mpaka tunapeana zamu kwa kunyoosha vidole kuchangia.

Raha mustarehe jamani

mi niko poa ile mbaya. Mwaka mpya wap?
 
weraweraaaaa. wadau ile siku yetu ndo imefika...caravan ndo linaingia tarangire. ni balaa 2pu njiani.

mbona hata picha hamrushi isije kuwa mko hapo Kibo Palace mnalamba maji huku mnaturusha roho.. mnaingia tarangire

si unajua wote wajanja wewe una jina langu 'paka' mimi nina sura yako ' avantar'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom