hello Bishanga naomba niwe mke wako

hello Bishanga naomba niwe mke wako

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372345132140.jpg
    uploadfromtaptalk1372345132140.jpg
    60.2 KB · Views: 34
Last edited by a moderator:
ukiona mwanamke anaanza kukutongoza shtukaa, naona Bishanga umechekelea hadi jino la mwisho ndege kujiingiza tunduni
 
Last edited by a moderator:
Mbona alikuwa anamiliki bendi kule kwao Bukavu ilikuwa inakwenda kwa jina la Le ochestra majanga, alipojiunga kwenye saccos ya Madame B akafilisika, kuimba ni kipaji ya bamutu ba kongo...

Okesta majangaa ha ha haaa alikuwa hajui nyuma wala mbele ya madame.
 
Last edited by a moderator:
Mbona alikuwa anamiliki bendi kule kwao Bukavu ilikuwa inakwenda kwa jina la Le ochestra majanga, alipojiunga kwenye saccos ya Madame B akafilisika, kuimba ni kipaji ya bamutu ba kongo...

hahaaa baada ya kufilisika bado tu yuko saccos ya Madame B
au amejitoa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom