hello Bishanga naomba niwe mke wako

hello Bishanga naomba niwe mke wako

Zahra White nianze kujitambulisha kwako,nikupe profile yangu kisha ndo uamue kama nnakufaa:
jina kamili: bishanga abashaija ayanyampile olwazi lukatika.
sifa: nna hela
haiba: picha ya avatar ni ya kwangu original
size ya kiatu: kibamia/kipenseli
6x6: choka mbaya,overused,mpaka niimbiwe 'sima mama dede' ikifuatiwa na 'kasimama peke yake' (shuhuda Kongosho)
sifa ya ziada: mhongaji mzuri,kukupiga ka rav4 sio ishu.
mpendwa mtarajiwa baada ya maelezo haya naamini utakata shauri,rest be assured kwamba kama ni kukutoa nitakutoa.
mmmmmmmmmmwwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!! Katavi, Chimbuvu Slave, Arushaone keep distance tingatinga linapita.
Bishanga wala usiwe na wasiwasi mimi huko sipo kabisa, labda hao wengine.
 
Last edited by a moderator:

tajiri wa ndizi ni barrrrraaaa!!
anawa do wote akisaidiana na mkuyati!!
 
Back
Top Bottom