True Man11
Senior Member
- Oct 14, 2022
- 109
- 154
Hbari za majukumu ndugu,
Maisha yanabadilika kila kukicha na kukaa kimia bila kushirikisha walimwengu jambo lakohuku unasumbuka ni uzembe,
Mimi naombamsaada kwa mtu yoyote mwenye ndugu, jamaa au rafiki anayemwamini kuwa ana faa kuwa mke anisaidie kunikutanisha naye, hata kamanimwanachamawa hapa jf umesomaujumbe huu ni upo tayari pia naomba hata wewe mwenyewe tuwasiliane tufahamiane.
Nakutana na wasichana wengi ila kuna aina ya mke nayemtaka bado sijampata, dini ni mkristo,kabila lolote ila muhimu nitazingatia tabia, kweli na mapenzi ya kweli, umri kuanzia 21 - 32. mimi nina 38.
Hata akiwa binti wa kijijini kabisa au hata housegirl wako ambaye unaona anafaa kuwa mke mimi nipo tayari kama akiwa na sifa, akiwa msomi hata phd au CPA pia sawa, awe na kazi au biashara ama hana pia sawa,
Kimaisha na uhakika wa kumtunza na kumpatia kila kitu kama mke.
Naomba tuwasiliane whatsApp kwa maelezo na maswali zaidi.
0661 309 830