Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
We ndo nyota yangu kama Baba V nikikuudhi usinikimbie kama Arushaone natumaini utanielewa zaidi ya Lady doctor . Nikikuudhi ntakubembeleza kama Mamndenyi ,
Zahra White.... Kaa mbali na muchumba wangu Bishanga.
Mutafute mu Baba V yeye yuko single but booked.
Last edited by a moderator: