hello Bishanga naomba niwe mke wako

habari zenyu bana..
Nasikia Bishanga ni tajiri wa humu na mimi naomba niwe mke wako.
onngea kwanza na The secretary ndio mke halali wa ndoa,angalia ki badge chake ni kweli bishanga ni tajiri utafwaidi sana ila wewe si mja mzito na bado una wanaume lukuki??bado wantaka Bishanga
sasa basi akikukataa Bishanga hilo zee la kihaya jaribu tena kwa huyu tajiri mwingine wa kihaya anaitwa KakaKiiza kizuri kula na mwenzako bidada
 
Last edited by a moderator:

Duh....! Mbona sisi mabachela hamtupigii debe au kwa kuwa hatuna mautajiri...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom