hello Bishanga naomba niwe mke wako

hello Bishanga naomba niwe mke wako

Mzee mwenzangu Bishanga nipe siri ya mafanikio yako.

The World is not Fair.
 
Last edited by a moderator:
Ndio nini kunisema mbele ya kadamnasi hivyo...btw huyu binti ni feki alikuwa anajifanya hajui vizuri kiswahili vizuri hahaha kumbe ni Mmatumbi wa Ikwiriri Rufiji...

hahaaa anataka wenye akaunti uswiswi,sijui we Katavi unayo
kuna mtu aliulizwa ana akaunt wapi akajinu NMB.....
Jibu alilopewa ngoja nibaki nalo tu!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom