Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

Gentleman,
in fact,
only chadema masalia and few other bandits like you who are opposing the motion on the table, and they are against that light truth I exposed concerning msukule polepole.

Otherwise,
I like to be hated my fools.
Remember, No fear no hate.
Avoid to be conned by polepole shinanigans 🐒
Kama wewe ndiyo Tegemezi la Utelezi huko ccm wamepotea sana, kwani huna Akili weledi ni mtu wa hovyo sana na waliokutuma kusumbua watu mitandaoni nina imani wanajuuta kukupa tenda kwani huwasaidii zaidi ya kuwatia Aibu kubwa
 
Calm down funza,
tuliza mihemko mbona hata point zenyewe huna ndugu kamanda wa chadema masalia?🐒
 
Gentleman,
in fact,
only chadema masalia and few other bandits like you who are opposing the motion on the table, and they are against that light truth I exposed concerning msukule polepole.

Otherwise,
I like to be hated my fools.
Remember, No fear no hate.
Avoid to be conned by polepole shinanigans 🐒
Come on man...I am observing the environment. You are the dumb here. Alafu sifa ya dumbest people hawajuagi if they are the dumbest....watu washawastukia hata mfanye spinning ya namna yeyote washaelewa...
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.

Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba Polepole anatunga story za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Anapuuzwaje huku watu 14 mmemfungulia nyuzi 14 ndani ya saa 15 tangu amwage nondo!!???
 
Yes,
sure watu wameushtukia huo upotoshaji wa huo msukule uliojificha, wengi wamemdump wamebaki chadema masalia wachache tu including you ambao completely wamepoteza uelekeo wa kisiasa.

Kama mdau makini na wa heshima wa JF,
nitaendelea kujitolea kwa moyo wote kuwanusuru wadau wote wa JF, kua conned na shinanigans nonsense za huyo msukule as we are going to the very peaceful elections on oc.29,2025🐒
 
Anapuuzwaje huku watu 14 mmemfungulia nyuzi 14 ndani ya saa 15 tangu amwage nondo!!???
Gentleman,
huenda hao ni miongoni mwa mamilioni ya waTanzania wazalendo ambao wamejitolea bila kujibakiza katika kuwanusuru wadau wa JF hususani Chadema masalia ambao kimsingi ndio wanaoweza kubebwa ufala wa kifikra kirahisi zaidi kwakua wamepoteza uelekeo na hawana cha kufanya kisiasa nchini 🐒
 
Yes,
sure watu wameushtukia huo upotoshaji wa huo msukule uliojificha, wengi wamemdump wamebaki chadema masalia wachache tu including you ambao completely wamepoteza uelekeo wa kisiasa.

Kama mdau makini na wa heshima wa JF,
nitaendelea kujitolea kwa moyo wote kuwanusuru wadau wote wa JF, kua conned na shinanigans nonsense za huyo msukule as we are going to the very peaceful elections on oc.29,2025🐒
you are very stupid man...me sio chadema i am just a concerned citizen, I am Bold... level up mzee, hata kama ningekuwa nimejiunga jf leo ningesoma huu uzi wako ningejua wewe ndio Tatizo...
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.

Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba Polepole anatunga story za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Sema Hekaheka na sii Hekaya kama hekaya wasiwasi wanini?Najua mfano leo Ntu akawaleteeni slowslow mtamgawana naasionekane hata unywele mmoja.
 
you are very stupid man...me sio chadema i am just a concerned citizen, I am Bold... level up mzee, hata kama ningekuwa nimejiunga jf leo ningesoma huu uzi wako ningejua wewe ndio Tatizo...
Asikuumize kichwa wengine tulishamzoea tunaenda naye hivyo hivyo.
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.

Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba Polepole anatunga story za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Hoja alikuwanazo kabla hajawa katibu mwenezi wa CCM
 
Kaka najua na siku zote nakwambiaga.

Kimoyo moyo spana za POLEPOLE zinawaingia mpaka kwenye mifupaaa..
 
Je,
ni kwasababu hawana cha kufanya kisiasa? Au ni kwasababu hawana agenda na wamezoea umbea na upotoshaji? Au ni kwa vile hawana hoja wala contents zitakazo attract public attention na public sympathy walizozoea, ndio kwasababu wameamua kujiasemble nyuma ya msukule Polepole ambae tangu aanze drama, hadithi na porojo zake nonsense za pata potea, amepuuzwa pakubwa na waTanzania wote?.

Na Ukifuatilia kwa karibu mijadala kuhusu hadithi za kutunga za Hamphrey humu jukwaani, utagundua kwamba Chadema masalia ndio pekee wako conned zaidi na shinanigans za Hamphrey Polepole. Mamilioni ya waTanzania wamempuuza kabisa na wala hawababaiki nae bali wanasonga mbele kwa umoja kulijenga Taifa lao kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 29,2025.

Kwa maoni yako,
why chadema masalia pekee ndio wamekubali kubebwa ufala wa kifikra as whole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.

Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba Polepole anatunga story za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Udhalimu wenu Una mwisho
 
Je,
ni kwasababu hawana cha kufanya kisiasa? Au ni kwasababu hawana agenda na wamezoea umbea na upotoshaji? Au ni kwa vile hawana hoja wala contents zitakazo attract public attention na public sympathy walizozoea, ndio kwasababu wameamua kujiasemble nyuma ya msukule Polepole ambae tangu aanze drama, hadithi na porojo zake nonsense za pata potea, amepuuzwa pakubwa na waTanzania wote?.

Na Ukifuatilia kwa karibu mijadala kuhusu hadithi za kutunga za Hamphrey humu jukwaani, utagundua kwamba Chadema masalia ndio pekee wako conned zaidi na shinanigans za Hamphrey Polepole. Mamilioni ya waTanzania wamempuuza kabisa na wala hawababaiki nae.

Kwa maoni yako,
why chadema masalia pekee ndio wamekubali kubebwa ufala wa kifikra as whole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unadhani kwa nini wanaomfatilia na kumzingatia sana polepole ni wana CCM Gentleman. Unadhan wamestukia nini mpaka kuanza kumzingatia jamaa kwa umakini namna hiyo
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.

Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba Polepole anatunga story za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.

Unalipwa kiasi gani upo tayari uchunguzi huru wa kifo cha mzee Jpm ufanyike na wahusika wanyongwe hadharani? Na wengineo ikiwemo Lissu na waliokufa kwa utatanishi?
 
Back
Top Bottom