Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,837
- Thread starter
- #41
Gentleman,Kwanini Utumie nguvu kubwa kushupaza fikra zako kuhimiza umma huu eti usimsikilize HP na kumdhihaki juu kwa kumuita Msukule?
Tuelimishe kwa kuchambua hoja zake moja baada ya nyingine kwa kuzikosoa na kuzizahihisha ndio tutazitambua fikra zako na uhalisia wako ktk U-Tanzania wa dhati kuliko ivi ulivyo.
kazi ya hekaya na upotoshaji ni kukupumbaza na kukufanya uwe lofa kifikra daima.
Porojo na story za pata potea hua ni nonsense zisizostahili kumpotezea mtu muda wake gentleman 🐒