Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

Hadi uvivu kukujibu pumba zako..!!
uvivu wa kuzaliwa nao ni mzigo wa mateso makali mno aise,

In fact,
cha muhimu zaidi ni kujiepusha na hizo hekaya za upotoshaji wa huyo msukule anaowabeba ufala wa kifikra chadema masalia 🐒
 
Mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tunackiliza kwa umakini mkubwa MNO. Na BADO sana kuanza kuchacha.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.

Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba Polepole anatunga story za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Huyu jamaa ataishia kubaya maana,utunzi wa stori zake waelekea mwisho kusingizia kuwa fulani ameuliwa na akina fulani ni fitna mbaya sana
 
Acha kutapatapa we bwege, badala ya kuonesha huo upotoshaji alofanya unaandika mashudu tu hapa. Unapuuzwa tu gentleman maana hujawah kuwa na point zaidi ya blaablaa na tatarira tu
ukiwa pointless unakaa kimya tu gentleman na itapendeza zaidi,

kujiexpose kwamba wewe ni empty head si muhimu kabisa kwenye mjadala huu mzito wenye maslahi mapana kwa taifa 🐒
 
Huyu jamaa ataishia kubaya maana,utunzi wa stori zake waelekea mwisho kusingizia kuwa fulani ameuliwa na akina fulani ni ftna mbaya sana
kiufupi hekaya zake ni nonsense na for sure zinapuuzwa na kila moja ispokua chadema masalia.

hata hivyo,
inafaa asisahau kwamba,
mwisho wa ubaya ni aibu 🐒
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa.

Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba Polepole anatunga story za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe ndiyo unapuuzwa kwani wanaokusikiliza ni wale punguani watupu, watanzania wenye Akili Timanu wote wapo na polepole, hata mle posho vipi huko kwa Rostam Aziz hamtaweza kumsafisha kwa lolote
 
Mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tunackiliza kwa umakini mkubwa MNO. Na BADO sana kuanza kuchacha.
KAZI ni kipimo cha utu
mmekubali kubebwa ufala wa kifikra kilofa hivyo kwa pamoja na huyo msukule polepole?

inaonekana mnateswa mno na umaskini wa kifikra kwenye ukoo wenu hata mnakua malofa kwa pamoja, right?🐒
 
It's high time you do analysis on why everybody is bashing you. Alafu kwanini kila atakae speak his/her mind ni chadema masalia?.... No offense man lakin Are you sure kama unaanzishwa uzi wa who are the dumbest of all hapa JF hautakuwepo kwenye Top Ten ? I am just asking man, going around i have noticed no body likes you. Homie! something somewhere is not okay...
 
Gentleman,
the best advice ni chadema masalia wote kuacha kubebwa ufala wa kifikra na tapeli msukule polepole hata kama you have nothing to do in this country 🐒
Hapo Ulipo huna Ubongo kichwa kimejaa moshi wa Bangi unawezaje kuona chochote? Akili zao ni kupokea posho haramu za kishetani toka kwa Rostam Aziz mwizi wa Rasilimali za Nchi unategemea mtu mwenye Akili Timanu atakusikiliza?
 
ukiwa pointless unakaa kimya tu gentleman na itapendeza zaidi,

kujiexpose kwamba wewe ni empty head si muhimu kabisa kwenye mjadala huu mzito wenye maslahi mapana kwa taifa 🐒
Empty head ni wewe gentleman, unayewaambia watu wampuuze mtu kwamba ni mpotoshaji bila kuonesha huo upotoshaji wenyewe. I think you can see how dull you are gentleman
 
It's high time you do analysis on why everybody is bashing you. Alafu kwanini kila atakae speak his/her mind ni chadema masalia?.... No offense man lakin Are you sure kama unaanzishwa uzi wa who are the dumbest of all hapa JF hautakuwepo kwenye Top Ten ? I am just asking man, going around i have noticed no body likes you. Homie! something somewhere is not okay...
Gentleman,
in fact,
only chadema masalia and few other bandits like you who are opposing the motion on the table, and they are against that light truth I exposed concerning msukule polepole.

Otherwise,
I like to be hated my fools.
Remember, No fear no hate.
Avoid to be conned by polepole shinanigans 🐒
 
Jiepushe na nonsense za huyo tapeli na Mungu akubariki sana gentleman 🐒
Mungu yupi unamuongelea?
Mungu anaweza pokea maelekezo yako wewe shetani mkubwa,
Mungu wa wote hawezi kubali wezi wa Rasilimali za Nchi, wauaji watesi watekaji kuwabambikia kesi za uongo akina lisu na chadema kwa ujumla
 
Relax bas funza,
naona unaanza kupandisha mapepo tena badala ya kupokea Baraka kwa utulivu 🐒
 
Empty head ni wewe gentleman, unayewaambia watu wampuuze mtu kwamba ni mpotoshaji bila kuonesha huo upotoshaji wenyewe. I think you can see how dull you are gentleman
don't be conned with shinanigans of msukule polepole gentleman, mbona unajirahisisha sana gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom