Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

kwahiyo kamanda wa chadema masalia, wewe ndie pekee ulieshupaza shingo na kuconcentrate na pupoteza muda dhidi ya hekaya nonsense za huo msukule, right?

are you surely okay mentally?🐒

Nimekupa ushauri tu. Sio kila siku unaposti ujinga. Walikuwepo akina bia yetu walikuwa zaidi ila walikimbia siku ya mwisho.
 
maneno ya ex sikuzote ndivyo yalivyo, mbona ni very simple sana kuelewa hilo gentleman?

yaani unabebwa ufala wa kifikra kilofa namna hiyo? that's not right at all 🐒
Wewe hadi kumuanzishia uzi? Unadhani nani ana ufala ndani yake chief, imagine mtu wa kupuuzwa umemuanzishia hadi uzi.
 
Mafuta hujitenga na Maji Ukweli Hujitenga na Uongo Tunajua Mna Hali Mbaya Sana ila hayatuhusu. Kutesa kwa Zamu. Imeandikwa Alaaniwe yule Amwagaye Damu Isiyo na Hatia
 
Jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman,

mtu wa maana kabisa kubebwa ufala kifikra na matapeli kama msukule polepole saa zingine inatia huruma sana.

haa,
we shupaza shingo na matango pori ya polepole 🐒
Sijui huwa unawaza nini, yaani buku 7 ndiyo zinakufanya hivi 😳😳😳
 
mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?
Hiyo niliyo quote hapo juu inakuelezea wewe CHAWA. Badala ya kujadili hoja nzito zenye mashiko za mzalendo mh Balozi Polepole, unakuja na porojo za kumjadili yeye binafsi, that's nonsense 🚮
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa na kuropoka maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu mropokaji Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba msukule Polepole anatunga story na porojo za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana hususani Chadema masalia, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia msukule polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Nakushauri Rudi kusoma comments
 
Gentoman unajidhalilisha sana ujue
 
Jibu hoja acha ujinga,unazunguka na maneno kedekede lakini hujajibu lolote
hekaya na umbea hujibiwa gentleman?

mie navyojua,
hizo hekaya ni porojo na story za kupotezea muda tu 🐒
 
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa na kuropoka maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu mropokaji Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba msukule Polepole anatunga story na porojo za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.

Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.

Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?

why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana hususani Chadema masalia, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia msukule polepole?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kwanini Utumie nguvu kubwa kushupaza fikra zako kuhimiza umma huu eti usimsikilize HP na kumdhihaki juu kwa kumuita Msukule?

Tuelimishe kwa kuchambua hoja zake moja baada ya nyingine kwa kuzikosoa na kuzizahihisha ndio tutazitambua fikra zako na uhalisia wako ktk U-Tanzania wa dhati kuliko ivi ulivyo.
 
Sijui huwa unawaza nini, yaani buku 7 ndiyo zinakufanya hivi 😳😳😳
huwa nina waza kizalendo mno gentleman,
daima huwa ninawawazia mema wadau wote wa JF, hususani kuwaepusha kubebwa ufala wa kifikra na kupotoshwa na matapeli kama vile msukule polepole n.k🐒
 
Nakushauri Rudi kusoma comments
ni muhimu zaidi kusonga mbele kuliko kuzingatia comments za chadema masalia ambao kimsingi wamepoteza uelekeo na hawana cha kufanya zaidi ya kukubali kubebwa ufala wa kifikra na matapeli kama msukule polepole.

ni muhimu kurelax pia gentleman 🐒 🐒
 
Gentoman unajidhalilisha sana ujue
Gentleman,
kukuacha ubebwe ufala wa kifikra na huyo msukule polepole inaweza kua sikutendei haki gentleman.
Ni Lazima nikunusuru na hali hiyo ya kuaminishwa uongo na kusalia mjinga daima.

hiyo haiwezekani,
nitawasadia wadau wote wa JF kuepukana na upotoshaji wa misukule kama polepole 🐒
 
Back
Top Bottom