PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini


 
Back
Top Bottom