PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msajili amtengue mama Abdul aliyejipitisha huko Lumumba kwa mlango wa nyuma.
Msajiliccm kwanza kavuka umri wa utumishi alishasitaafu lakini yupo ofisini kwa njia haramu za kishetani, chadema itashinikiza atoke ofisini mda wake ulikwisha kitambo
 
Msajili kasema itisheni baraza akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche acha kupotosha.Usimlishe msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe

CHADEMA isikubali kuyumbishwa na huyo takataka! Hakuna kuitisha Baraza Kuu la Chama, Viongozi waendelee kubaki wale wale.
Hata chama tawala Cha Afrika Kusini Cha ANC kiliwahi kutangazwa kuwa eti ni Kundi la Kigaidi na Utawala wa Makaburu nchini humo baada ya Utawala wa Makaburu kuona kwamba ANC ilikuwa inakaribia kuchukua madaraka katika nchi hiyo. Licha ya kwamba ANC ilitangazwa kuwa ni Kundi la Kigaidi, bado Wananchi wengi zaidi waliendelea kuiunga mkono hadi ilipoingia Ikulu
 
Ndo ukweli wenyewe, msajili anaona tu ya chadema ila ccm haoni.

Niliwahi andika hapa jf kumtaka msajiri kukifuta chama cha ccm ,moderator ,pandisha huzi huu tafadhali.

Msajili anatakiwa acha wenge .basi akifute chama cha chadema
Msajiliccm ni kada wa ccm hana vigezo vya kuwa Msajili kwa sasa yafaa afukuzwe kazi kwani hata Umri wake ni mkubwa sana
 
CHADEMA isikubali kutumbishwa na huyo takataka! Hakuna kuitisha Baraza Kuu la Chama, Viongozi waendelee kubaki wale wale.
Hata chama tawala Cha Afrika Kusini Cha ANC kiliwahi kutangazwa kuwa eti ni Kundi la Kigaidi na Utawala wa Makaburu nchini humo baada ya Utawala wa Makaburu kuona kwamba ANC ilikuwa inakaribia kuchukua madaraka katika nchi hiyo. Licha ya kwamba ANC ilitangazwa kuwa ni Kundi la Kigaidi, bado Wananchi wengi zaidi waliendelea kuiunga mkono hadi ilipoingia Ikulu
ilikuwepo KANU ya kenya lao kipo wapi? Senegal, Zambia, Ghana walifanya makubwa sasa ni zamu ya Tanzania umma kumkataa Msajiliccm mpaka apatikane Msajili mpya
 
Kwanza Msajili hana utu hana ubinadamu ni mtu wa ajabu sana, kaamua kujitoa fahamu kuwakomoa chadema wakati akijua mwenyekiti yupo jela na hana jinsi ya kujitetea
 
Mkutano ndio wenye mamlaka yote na vikao vyote waweza amua lolote na baraza lenu kuu ndio mamlaka ya mwisho kuamua chochote

Cha msingi akidi itimie .Msajili hapo anachowadai ni akidi kutimia

Anajua kikao chenu cha baraza kuu ndicho kikao cha juu kabisa kama kilivyo cha CCM

Tatizo liko kwenye Akidi.Itisheni kikao cha baraza kuu amueni chochote kitakuwa halali hata kama huko chini hiyo agenda haikuwepo kitakuwa halali

Akidi isipotimia maamuzi yote yanakuwa feki iwe uteuzi wa wajumbe kamati kuu au chochote. Hiyo ndio meseji msajili kawaambia in a very polite but serious language
Itisheni baraza kuu na mhakikishe akidi inatimia hizo porojo zenu mnapoteza muda muda sio rafiki

Mtakuja jikuta munekuwa suprised CHADEMA imefutiwa usajili

Tukiwashauri muwe mnaelewa kama huko CHADEMA hamna waelewa
Hayo maneno mwambie mamayao mzazi
 
Heche mtu na nusu aisee, iyena iyena zote za CCM zinaangalia moto unavowaka zinafyata. Kabaki mafwele
 
ccm kumbukeni haya walikuwepo madikiteta hatari Duniani leo hii wapo wapi?wapo wapi Akina iddy Amin Dada, makaburu, Chiluba, Bokasa, mabutu, Elibashiri , Magu na wenzao? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa mabaya ni Aibu kubwa
 
Watesi waliopo ccm mjinfunze kumuogopa mungu punguzeni roho za kishetani acheni kuwaonea chadema
 
Mkutano mkuu wa CCM ndio kikao kikuu cha maamuzi yeyote akidi ilitimia baraza kuu fanya maamuzi hicho chenu cha baraza kuu kilikuwa halali kabisa ila akidi ya kuwapitisha hao wajumbe wenu haikutimia.

Itisheni baraza kuu akidi itimie kisha pitisheni wawe hao hao au wengine wapya hayo ya kwenu
Sasa si ndio wakifute. Au ww hupendi CHADEMA ifutwe??!!
 
Ushetani wote wa Dunia umehamia ccm hawana utu tena
 
CCM wanaelekea kuwa kama KANU ya kesha siku si nyingi
 
Sio ajabu kwa Heche kutoiona hatari ya kukaidi maagizo ya msajili. Ni kiongozi asieijua hata katiba ya chama chake. Alizoea kupelekeshwa na mawazo ya Lissu.
Panapokuwa na double standards kwenye utekelezwaji wa sheria njia kama hizi ni lazima zitumike.
 
Kweli CHADEMA kwisha kazi, waache wagawane mbao. Tuliwaambia wamepa UWENYEKITI Lissu mropokaji na u-Makamu Heche mtu wa jazba.
Kaongee hivi mbele ya Wasira kama hajakulima makofi. Mzee wa watu kila siku anaumiza kichwa we unasema Chadema kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom