PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Heche shikilia hapohapo Muraaa ,ifike mahali sheria ziheshimike sio kuamuliana tu nani awe nani na kipi kiwe namna gani ,No .

Vita ni vita muraaaa
Ushauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe

Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.

Msipoitisha kitafutwa kweli
 
Atengue na uteuzi wa Samia huko CCM alikojiteua tuone kweli anafanya kazi
Mkutano mkuu wa CCM ndio kikao kikuu cha maamuzi yeyote akidi ilitimia baraza kuu fanya maamuzi hicho chenu cha baraza kuu kilikuwa halali kabisa ila akidi ya kuwapitisha hao wajumbe wenu haikutimia.

Itisheni baraza kuu akidi itimie kisha pitisheni wawe hao hao au wengine wapya hayo ya kwenu
 
Ushauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe

Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.

Msipoitisha kitafutwa kweli
Hamna kuitisha mkutano tena, huyo mtungi kama ataweza akifute tu, iwe furaha na ndelemo kwa ccm.
 
Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute chadema kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Catholic ni kanisa hawana chama cha cha siasa wala kikundi cha siasa ndani yake
 
John Heche

Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.

View attachment 3332945
stress ni kitu mbaya sana aise,
kuropoka kilofa namna hii ndio kunasababisha kila moja anakimbia.

eti huo uropokaji wa huyo kibaka lofa ndio msimamo wa chadema nchi nzima :pedroP:
 
Ushauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe

Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.

Msipoitisha kitafutwa kweli
Acha kifutwe.
 
stress ni kitu mbaya sana aise,
kuropoka kilofa namna hii ndio kunasababisha kila moja anakimbia.

eti huo uropokaji wa huyo kibaka lofa ndio msimamo wa chadema nchi nzima :pedroP:
Kifupi Lisu na Heche wamepania kwa dhati kabisa kuua CHADEMA

Ndio maana waona mbali wameamua kuikimbia CHADEMA
 
Heche shikilia hapohapo Muraaa ,ifike mahali sheria ziheshimike sio kuamuliana tu nani awe nani na kipi kiwe namna gani ,No .

Vita ni vita muraaaa
Kumbe ujui kua ilo la msajili lipo Kisheria.....Daah mnaleta ukurya kwenye sheria eti
 
Kifupi Lisu na Heche wamepania kwa dhati kabisa kuua CHADEMA

Ndio maana waona mbali wameamua kuikimbia CHADEMA
Sure gentleman,
hao malofa wa siasa wamepania mno kuitumbukiza chadema shimoni na kuitokomeza kabisa kwenye medani ya siasa za Tanzania.

heche lofa sana aise,
yaani kuropoka kwake binafsi ndio msimamo wa chadema Taifa? :pedroP:

kweli chadema inaongozwa kwa matamko ya kilofa sana tu kwa mujibu wa kigaila:pedroP:
 
Back
Top Bottom