PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Unachochea udini kwa njia ya kijinga sana?.
Je, huna elimu ya kutosha?.
Hata mimi ni mwana CCM ila sio mpumbavu kama wewe.
Hivi vita ikitokea nchini mwetu wewe na familia yako mtakimbilia wapi?.
CCM ni kikundi cha watu wachache tu, ila Taifa la Tanzania ni la wote, tena vyama vinakufa lakini taifa hili litaendea kuwepo mpaka mwisho wa dunia.
 
Heche shikilia hapohapo Muraaa ,ifike mahali sheria ziheshimike sio kuamuliana tu nani awe nani na kipi kiwe namna gani ,No .

Vita ni vita muraaaa
Mwenye uwezo wa kusimamisha uongozi ni Mahakama
 
Kwa Akili zako finyu ndiyo maana hujawa Msajili kwani mwevu mvuta bangi kama wewe ungefanya maamuzi haramu ya kishetani na kuwagharimu ccm watesi wenzako, mungu siyo mjinga ndiyo maana hujapewa cheo hicho kakuacha uwe unavuta bangi na kuwaza ushetani huko gheto
Yaani kiukweli nisingeweza kuvumilia kenge kama wewe eti unaongea siasa. Ningelikushughulikia wewe na vizaI vyako vyote. Sasa Kwakuwa Sina mamlaka endelea sana kushukuru na kuropoka.
 
Kaongee hivi mbele ya Wasira kama hajakulima makofi. Mzee wa watu kila siku anaumiza kichwa we unasema Chadema kwisha kazi.
Sasa hawakusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, ina maana hawashiriki uchaguzi wa Oktoba 2025. Wao wanaendelea kubwabwaja na No Reform No Elections, je itawasaidia nini?
 
John Heche

Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.

View attachment 3332945
Jaji Mutungi ameshindwa kuwazuia Covid 19 kufanya siasa huku wakiwa hawana chama! Uhalali wa yeye kuwazuia ulianzia pale mahakama ilipothibitisha kufukuzwa kwao, na hiyohiyo mahakama ilishindwa kuhakikisha kuwa hukumu yake inatekelezwa kuwa wale si wanachama halali wa wa Chadema.
 
Mwaka 2025 utakumbukwa daima.
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia chama baada tu ya Heche na Lissu kuwa viongozi. hili halijawahi kutokea katika uhai wa chadema.
Chama kinaelekea KUZIMU

Quote
 
Msajili kasema itisheni baraza akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche acha kupotosha.Usimlishe msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe
Mama alivyoteuliwa kugombea urais peke yake yeye na nchimbi walifuata utaratibu gan mkuu kwa mujibu wa chama
 
Itisheni baraza kuu acheni kutishia nyau
Hawa wamekuja kuua Chama kwa maelekezo ya Msigwa na TL maana walikaa kule Singida zaidi ya wiki mbili.Heche hataki kukaa vikao wala kupokea mawazo ya wengine.Hakuna taasisi inayoendeshwa bila vikao.Hivi tangi Heche aingie amesajili wanachama wangapi!!?naomba mwenye jibu atusaidie hapa.Hawataki kusema wakishindwa kuzuia uchaguzi itakuwaje,wakati mahakamani kwenyewe wanavunjwa miguu je kwenye uchaguzi hawatavujwa Shingo!!?Pale Mbinga TL alichukuliwa katikati ya watu zaidi ya 5000, hapo inakuwaje kwenye uchaguzi
 
Mwaka 2025 utakumbukwa daima.
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia chama baada tu ya Heche na Lissu kuwa viongozi. hili halijawahi kutokea katika uhai wa chadema.
Chama kinaelekea KUZIMU

Quote
Hii ni maajabu!!😳😆
 
Huyu Jaji Mutungi yeye hajafika miaka sitini ili astaafu? Au hiyo nafasi ya Msajili wa vyama haina umri wa kustaafu, maana aliteuliwa kuwa Msajili tar 05/08/2013 ambapo ni miaka 12 iliyopita na alikuwa ni Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma. Sasa je alikuwa na miaka chini ya 48 wakati anateuliwa? Atazamwe kwanza kama yeye yupo hapo kwa ofisi kikatiba kabla hajaanza kusoma katiba za vyama vya siasa
Mutungi bila shaka alikuwa tungi wakati anafanya hayo maamuzi.
 
Back
Top Bottom