Wakati mwingine tuwe serious, kitakufaje wakati CCM wanaogopa kama nini ndo maana wanatumia hila mbaya za kila aina ili kufifisha nguvu zake lakini hawawezi.CHADEMA kufa chini ya Lisu na Heche hakuhitaji nabii kusema kitakufa ni kitu cha uhakika
Hawajui siasa kitakufa.Waona mbali ndio maana wanatimka