PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukweli nilijua Heche amepevuka kua atafanya Siasa za kistaarabu na kuheshimu Katiba ya nchi na sheria zake kumbe nilikosea. Nimejiuliza kua CHADEMA tukichukua nchi si kila mtu atafanya anavyotaka maana akutakuwepo utii wa sheria kabisa
Wewe mpumbavu hakuna CHADEMA mpumbavu kama wewe
 
Hii nchi wajinga mpo wengi sana , yaan msajili ana haki gan ya kuchagua viongoz wa Chama ? Hv ni swala la kusema mtu akigoma inabid ashikwe

Hii nchi bora Burundi ina watu wanajitambua ila sio Tz
Mbona Bi Kidude dikteta wa kwanza mwanamke Afrika alivunja katiba ya CCM akajiteua kugombea urais msajili akakaa kimya, na wanachama waliodiriki kusema wakapigwa mkwara?
 
Msajili ni kada ya ccm na isitoshe yupo ofisini kwa miaka mingi itoshe kuondoka maana uwezo wake wa kufikiri umeshuka sana Akili za kishetani zimemjaa
 
John Heche

Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.

View attachment 3332945
Mimi binafsi nashangaa kwanini viongozi wa Ofisi ya Msajili vya Siasa ni wapole kiasi hicho. Mimi ningelikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa ningelikuwa nimeishakifutilia mbali Chadema! Leo hii Chadema isingelikuwa inaongea No Reform, No Election bali ingelikuwa inabembeleza kuendelea kuwa kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa!
 
T

Tatizo lenu huwa hampendi kusikiliza kutoka kwenye chanzo cha kwanza. Mnabeba maneno ya Heche as if hamna vichwa. Tafuta taarifa ya msajili uiosome kwa lengo la kuelewa(sio kumaliza mistari).

Sio wajibu, ni majukumu. Now you know. Uwache uzembe.
Mtoeni ukonga mwenyekiti aje aongoze Baraza kuua pumbavu nyie
 
Mbona Bi Kidude dikteta wa kwanza mwanamke Afrika alivunja katiba ya CCM akajiteua kugombea urais msajili akakaa kimya, na wanachama waliodiriki kusema wakapigwa mkwara?
Msajiliccm hafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali anafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa makala na chawaccm
 
Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Hii akili ni pure kutoka masjid 😁😁😁😁
 
Mimi binafsi nashangaa kwanini viongozi wa Ofisi ya Msajili vya Siasa ni wapole kiasi hicho. Mimi ningelikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa ningelikuwa nimeishakifutilia mbali Chadema! Leo hii Chadema isingelikuwa inaongea No Reform, No Election bali ingelikuwa inabembeleza kuendelea kuwa kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa!
Kwa Akili zako finyu ndiyo maana hujawa Msajili kwani mwevu mvuta bangi kama wewe ungefanya maamuzi haramu ya kishetani na kuwagharimu ccm watesi wenzako, mungu siyo mjinga ndiyo maana hujapewa cheo hicho kakuacha uwe unavuta bangi na kuwaza ushetani huko gheto
 
Ilipofikia risasi ya viongozi wa Chadema imebaki moja tu, wafuasi, wanawahitaji mno, wafuasi wakisaliti 2025 watafeli vibaya mno.
ccm bila Polisiccm bila Tumeccm wachakachuaji bila watesi wake ni weupe sana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
CHADEMA kufa chini ya Lisu na Heche hakuhitaji nabii kusema kitakufa ni kitu cha uhakika

Hawajui siasa kitakufa.Waona mbali ndio maana wanatimka
Kikifa si ndio shangwe kwa nzi wa kijani, hivi unatumia kiungo gani kufikiria? Chama kinakufa kwenye mikutano mnataka kumkamata makamu mwenyekiti, Katibu mkuu mnamkamata, mwenyekiti asiye na impact mnamtungia kesi. Tumia akili hata ya kuazima, msihangaike na chama kinachojifia kama cha ubwabwa au TLP
 
Safari Hii Mbeleko Za CCM Zote Zinachanika Tena Hadharani
Ununuzi wa G55 Dalali Mbowe kajulikana na watanzania walipa kodi hawataki pesa zao kutumika kuwanunua wasariti huku huduma za jamii zilizidi kudorola kwa kukosa pesa
 
Kikifa si ndio shangwe kwa nzi wa kijani, hivi unatumia kiungo gani kufikiria? Chama kinakufa kwenye mikutano mnataka kumkamata makamu mwenyekiti, Katibu mkuu mnamkamata, mwenyekiti asiye na impact mnamtungia kesi. Tumia akili hata ya kuazima, msihangaike na chama kinachojifia kama cha ubwabwa au TLP
Watetezi wa ccm mitandaoni hawana hoja ndiyo maana huku mitandaoni hupigwa 3-0
 
Back
Top Bottom