PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uongozi wa Chadema imeundwa na TLS! Kwa hiyo Msajili anajua sheria kuliko wasomi walioko TLS ,wanao iongoza Chadema?
Msajili ajitafakari sana,hii ni Dunia!

Mkiendelea na Tabia hii, CDM itazalisha M23 ,tutaelekea kubaya sana!
 
Ushauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe

Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.

Msipoitisha kitafutwa kweli
Itisheni kwanza nyie mmpitishe mgombe urais maana mpaka sasa hamna mgombea urais kwa mjibu wa katiba ya chama
 
Siku zote ofisi ya msajili wa vyama vya siasa imekuwa inahakikisha vyama vya upinzani havikuwi. Ofisi inalazimisha migogoro kwa kuviwekea viongozi wasiotakiwa kwenye vyama vyao.
 
Ukweli nilijua Heche amepevuka kua atafanya Siasa za kistaarabu na kuheshimu Katiba ya nchi na sheria zake kumbe nilikosea. Nimejiuliza kua CHADEMA tukichukua nchi si kila mtu atafanya anavyotaka maana akutakuwepo utii wa sheria kabisa
We pata picha ndo anakuwa makamu wa rais nchi ipo mikononi mwake itakuwaje!
Nyerere alishasema ikulu ni mahali patakatifu ..
Watu kama hao huwezi kuwaachia ukawapa nchi ni watawatumbukiza shimoni vizuri kuwaacha wawe wapiga kelele tu .
 
We pata picha ndo anakuwa makamu wa rais nchi ipo mikononi mwake itakuwaje!
Nyerere alishasema ikulu ni mahali patakatifu ..
Watu kama hao huwezi kuwaachia ukawapa nchi ni watawatumbukiza shimoni vizuri kuwaacha wawe wapiga kelele tu .
SURE
 
Labda wataalamu wa mambo mnijuze hili
Mwezi wa tatu wakati wa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi msajili huyu huyu alimwandikia barua katibu Mkuu wa Chadema kwenda kusaini hizo kanuni za uchaguzi
Je kama alijua upatikanaji wake ulikuwa batili iweje atume barua kwa mtu ambaye ni batili?
Je kama ingetokea Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika akasaini hizo kanuni za maadili ya uchaguzi msajili angetwambia kuwa uteuzi wake haukufuata akidi?
 
Itisheni baraza kuu acheni kutishia nyau
Gharama za kulaza mtanzania wa kawaida pale muhimbili ni efu 50000/= kwa siku. Hata wakiitisha baraza kuu litakusaidia nn kupunguza hizi gharama. Watu wanakufa kila siku kwa kukosa matibabu wewe unakomaa na cadema???
 
Kikundi cha kikatoliki ni kikundi gani, hao mabwege wana njama na nchi hii. Wasipotimiza takwa la kisheria kifutwe kweli. Hicho inaonesha ni kikundi cha kihaini. Huo nyau ni sawa na mbwa kumbwekea tembo. Angekuwepo Magu asingepanua huo mdomo wake asingerudi ht nchini
Ushauri wa bure, PUNGUZA BANGI
 
Back
Top Bottom