Unabii unasema,Heche analazimisha kukamatwa sasa
Kuna bundi anaelekea ofisi za Tume kupeleka uchuro!
Ngoja tusubiri nani amuwahi mwenzie!
Unabii unasema,Heche analazimisha kukamatwa sasa
Kwa hiyo unamaanasha CHADEMA hawana wanasheria.Msajili kasema itisheni baraza akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche acha kupotosha.Usimlishe msajili ambayo hakusema
Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe
Yeah ili uweze kufikia kile unachokiamini ni lazima uwe na moyo jiwe na sio moyo wa kulamba viatu vya watawala!! Kama akina johnthebaptist, choicevariable and co. Hawa ni walamba kwato za viongoz!!Mwamba ana roho mgumu sn
Sahihi tumsupportYeah ili uweze kufikia kile unachokiamini ni lazima uwe na moyo jiwe na sio moyo wa kulamba viatu vya watawala!! Kama akina johnthebaptist, choicevariable and co. Hawa ni walamba kwato za viongoz!!
Kweli kabisa nduguWe pata picha ndo anakuwa makamu wa rais nchi ipo mikononi mwake itakuwaje!
Nyerere alishasema ikulu ni mahali patakatifu ..
Watu kama hao huwezi kuwaachia ukawapa nchi ni watawatumbukiza shimoni vizuri kuwaacha wawe wapiga kelele tu .
Kwa ivo Katiba ya nchi yetu ni ya hovyo kiasi hicho kwamba mtu anaweza kufanya maamuzi ya hatari ya kuitumbukiza nchi kusikojulikana halafu kuwe hakuna jinsi ya kumzuia?We pata picha ndo anakuwa makamu wa rais nchi ipo mikononi mwake itakuwaje!
Nyerere alishasema ikulu ni mahali patakatifu ..
Watu kama hao huwezi kuwaachia ukawapa nchi ni watawatumbukiza shimoni vizuri kuwaacha wawe wapiga kelele tu .