Safi sanaJohn Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
Kikifutwa ndio watu na mawazo yao wamefutwa?Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Hayo ni mambo ya ndan ya chamaMkutano ndio wenye mamlaka yote na vikao vyote waweza amua lolote na baraza lenu kuu ndio mamlaka ya mwisho kuamua chochote
Cha msingi akidi itimie .Msajili hapo anachowadai ni akidi kutimia
Anajua kikao chenu cha baraza kuu ndicho kikao cha juu kabisa kama kilivyo cha CCM
Tatizo liko kwenye Akidi.Itisheni kikao cha baraza kuu amueni chochote kitakuwa halali hata kama huko chini hiyo agenda haikuwepo kitakuwa halali
Akidi isipotimia maamuzi yote yanakuwa feki iwe uteuzi wa wajumbe kamati kuu au chochote. Hiyo ndio meseji msajili kawaambia in a very polite but serious language
Itisheni baraza kuu na mhakikishe akidi inatimia hizo porojo zenu mnapoteza muda muda sio rafiki
Mtakuja jikuta munekuwa suprised CHADEMA imefutiwa usajili
Tukiwashauri muwe mnaelewa kama huko CHADEMA hamna waelewa
NO REFORMS, NO ELECTION.Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Wewe unalo njoo nikupake mafuta ya naziTatizo huna tako
Toolate Bunge lote la Ulaya na UK wanajua kinachoendelea.
Akamatwe mara ngapi, wewe jamaa akili zako fupi sana, kwa matamshi hayo akamatwe kwa kosa gani?Heche analazimisha kukamatwa sasa
Kuna kesi iko mahakamani ya CCM jamaa wa Moshi mbona msajiri alikua kimyaUshauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema
Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe
Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.
Msipoitisha kitafutwa kweli
Kweli CHADEMA kwisha kazi, waache wagawane mbao. Tuliwaambia wamepa UWENYEKITI Lissu mropokaji na u-Makamu Heche mtu wa jazba.John Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
Kwa kosa lipi. Amevunja sheria gani?Heche analazimisha kukamatwa sasa
vip wakat mama anajiteua huko taratibu zilifuatwa?Naomba tu kuelimishwaMsajili kasema itisheni baraza akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche acha kupotosha.Usimlishe msajili ambayo hakusema
Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe
Soma post zote kabla kuulizavip wakat mama anajiteua huko taratibu zilifuatwa?Naomba tu kuelimishwa
CHADEMA kufa chini ya Lisu na Heche hakuhitaji nabii kusema kitakufa ni kitu cha uhakikaKweli CHADEMA kwisha kazi, waache wagawane mbao. Tuliwaambia wamepa UWENYEKITI Lissu mropokaji na u-Makamu Heche mtu wa jazba.
Wenyewe wameshaona chama hakuna faida tena, wanatafuta Sababu za kuilaumu CCM. Chama kisichoshiriki uchaguzi kina faida gani kwa viongozi na wanachama wake?Ushauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema
Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe
Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.
Msipoitisha kitafutwa kweli
Urusi hana influence yete mwenyewe kawa ombaomba wa silaha na wanajeshi.Bunge la ulaya na EU wakiona hii Wana vurugwa... Nchi haifungamani na upande wowote.
View attachment 3332980
Kikundi cha kikatoliki ni kikundi gani, hao mabwege wana njama na nchi hii. Wasipotimiza takwa la kisheria kifutwe kweli. Hicho inaonesha ni kikundi cha kihaini. Huo nyau ni sawa na mbwa kumbwekea tembo. Angekuwepo Magu asingepanua huo mdomo wake asingerudi ht nchiniNatoa wito kwa msajili wa vyama aifute CHADEMA kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki